World News

Tuesday, November 10, 2009

Albino Fulani kuwasaidia Albino Tanzania...!!


Msanii wa muziki wa Bongofleva anayeishi Columbus, Ohio Marekani Babu Sinare aka 'Albino Fulani' ameandaa Tamasha kwa ajili ya kuwasaidia Albino's wengine waliopo Tanzania ili kuweza kujikim na matatizo mbambali waliyonayo.
Katika Tamasha hilo litakalofanyika Novemba 21 ya mwaka huu hukohuko Columbus Marekani, anatarajia kupigwa kampani na wasanii wengine wa Kenya, Tanzania na Zambia kutoka states mbalimbali.

Mapato yote yatakayopatikana ktk show hiyo yatatumika kununulia Sunscreens za watoto wenye umri wa miaka 5 - 10 kwaajili ya kuwakinga na Kansa ya Ngozi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...