World News

Saturday, November 7, 2009

David Haye ni Noma, Duniani.......!!


Briton David Haye wa London akimtandika Nikolai Valuev wa Russia na kumpokonya Ubingwa wa Dunia aliokuwa akishikiria (WBA Heavyweight Champion) huko Nuremberg, Germany..


Valuev (36), bondia bingwa ambaye ni mrefu na mzito kuliko wote duniani ameshangazwa na kipigo alichopewa na bwana mdogo Haye (29) ambaye ana rekodi ya 22 -1, kulinganisha na yeye mwenye uzoefu wa miaka 16 na rekodi yake ya 50 - 1.

Valuev amemzidi sana Haye kiasi cha game yao kufananishwa na ile vita ya "Daudi na Goriath", amemzidi kwa kilo 44 na urefu wa mita 2.13 zaidi.WBA heavyweight Champion


Haye amekuwa bigwa wa kwanza Mwingereza ktk uzito wa juu duniani miaka 6 baada ya Lennox Lewis kustaafu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...