World News

Friday, November 20, 2009

Kombe la Dunia lilipotinga ndani ya Bongo.....!

Rais Kikwete akiinua juu kombe ya Dunia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ziara ya kombe hilo nchini jana.

Wadau wa soka wakishoo love baada ya kulishuhudia kombe la Dunia, kutoka kushoto Victor mdau wa habari katikati AY na Mama Yasoda ambaye ni kiongozi wa Wizara ya habari utamaduni na michezo.

Machozi band walikuwepo ktk kuburudisha

Mwanahabari Victor akichana verse mbele ya wadau wengine hawapo pichani walipokwenda kushuhudia kombe hilo.


Wadau wakipiga picha pamoja na kombe la dunia 'Fifa world cup'

Msanii mkali East Afrika Nameless katikati akiwa na Victor kushoto pamoja na Mwakibete kulia mara baada ya uzinduzi wa ziara ya kombe hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...