World News

Wednesday, November 11, 2009

Tour ya Dudubaya na Benjamini Finland Korjaamo - Helsinki Club Show


Baadhi ya matukio ktk picha ya Show ya 'Art in Tanzania Finland Tour'
Dudubaya, Benjamini wa MamboJambo, Sanaa Sana na Andrew Ashimba.

Benjamini akikamua sambamba na Dudubaya

Ashimba akitumbuiza mashabiki waliohudhuria

Mzee mzima 'Mad Ice' ndiye aliyeHost hiyo show kama MC

The Dudu akionyesha umahiri wa kuchana
Mpiga ngoma wa Sanaa Sana akipiga live ngoma za asili

Producer Miikka Kari ktk moja na mbili, alikuwa Dj wa hiyo show


Benjamin Wa Mambo Jambo, Ashimba na Sanaa Sana Wakiwatumbuiza mashabiki.


Andrew Ashimba na Benjamini wakifanya mambo jukwaani.

Tour hiyo iliwapeleka wasanii wa Bongo tangu Nov. 2 na ambapo wanatarajia kugeuza Nov 15 baada ya tour kukamilika.

Ratiba ya tour yao ni kama ifuatavyo:

3-Nov Tue Studio
4-Nov Wed Close Encounters Show & Clinic - Sanaa Sana
PM 14.00 at Arabia Hall
5-Nov Thu Studio etc time
6-Nov Fri Korjaamo - Helsinki Club Show
7-Nov Sat Tampere Club
8-Nov Sun Children - Fathers day performances
Sanaa Sana Show
HipHo...p WorkShop with kids
Art in Tanzania Stand
9-Nov Mon Studio etc time
10-Nov Tue Studio etc time
11-Nov Wed Studio etc time
12-Nov Thu Studio etc time
13-Nov Fri Metro Club Helsinki
14-Nov Sat Free time
15-Nov Sun Departure

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...