World News

Thursday, November 5, 2009

Usafiri wa Mbagala bado mshikemshike......

Baadhi ya wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam wakigombania kupanda kwenye daladala hii leo. Huku tatizo la kupanda kupitia madirishani ili kuwahi nafasi likiwa bado lingali likiendelea pamoja na kuongezeka kwa mabasi mengi makubwa kwa ajili ya usafiri huo. Hii ngoma niliishuhudia leo mapema.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...