MAKAVULIVE BLOG
Tuesday, July 26, 2016
Monday, July 18, 2016
Miss CHANG'OMBE 2016 KUSINDIKIZWA na TID & CASSIM MGANGA...JULY 22 @CDS PARK zamani TCC Club, Chang'ombe!
TID |
Fainali ya shindano la Miss Chang'ombe 2016 litafanyika Ijumaa ya tarehe 22 Julai ktk ukumbi wa burudani CDS PARK Zamani TCC Club Chang'ombe, ambapo warembo 15 waliojifua vya kutosha watapanda stejini kuchuana kwa ajili ya taji hilo.
Baadhi ya washiriki miss chang'ombe |
Kinyang'anyiro hicho kitasindikizwa na burudani kibao kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwe TID Mnyama, Kassim Mganga (Tajiri wa mahaba) na mkali wa hiphop anayetumia jina la Chadogg aka Big boss.
Dogo Pepe |
Pia kutakuwa na special appearance kutoka kwa Gabo Zigamba mkali wa bongo movie anayetamba vilivyo ktk medani hizo, na Host wa show nzima atakuwa Dogo Pepe 'the stand comedian'
Gabo Zigamba |
Show itaanza mishale ya saa 2 za usiku na kiingilio ni Tshs. 10,000 tu... Baada ya show ya warembo kumalizika Dj Mafuvu atapiga Disko kali mpaka liamba!
Tuesday, July 5, 2016
MISS CHANG'OMBE 2016 WATEMBELEA 'ZA KWETU AFRIKA' SABASABA!!
Baadhi ya washiriki katika kinyanganyiro cha Miss Chang'ombe 2016 wakimtembelea mmoja kati ya wadhamini wao 'ZA KWETU AFRIKA' ktk Viwanja vya maonyesho ya 40 ya Sabasaba yanayoendelea jijini DSM
Warembo wakijaribu baadhi ya vito vya urembo mbalimbali uliobuniwa na Mbunifu ASHA wa kampuni ya 'ZA KWETU AFRIKA'
Bi ASHA SAID mbunifu wa mavazi ya ki-Afrika akiwa katikati ya warembo wa kitongoji cha Chang'ombe 2016 walipomtembelea ktk banda lake la Pride Sabasaba
Welcome to !The International Afrika Festival Tübingen in Germany
Enie Susan Tatah, CEO of Afrikactive and African International Festival,Tubingen ,Germany |
The International Afrika Festival Tübingen in Southern Germany The Republic of Burundi is country of honor 2016 From the 21 to 24 July 2016, Tübingen International Africa Festival in Germany opens it doors wide open to arts, culture, dialog tourism, media.. operators under the theme „ not black, not white but colored for a peaceful world“ Exhibitors, festival lovers and cultural tourist in search of plattforms for a short vacation are cordially invited to attend and enjoy.
Founded since 2007 by Sunjo & Susan TATAH; the International Africa Festival Tübingen in Germany, is a FOUR DAY annual festival with focused on showing casing Africa´s role and contribution to humanity and diversity as well as world peace and stability bringing people of African descent and others from all over the globe, irrespective of their countries of origin, religious background, gender and status together.The Festival tells the story of people of Africa descent worldwide, thereby providing a platform to all African interested persons to share and be part of the heritage.
As a young, dynamic rapidly growing forward thinking NGO, The International African Festival Tübingen is a platform for mobilization and presentation of cultural activist, Business and developmental activist, , individual donors and philantrophic activist in all sectors. The festival is a compact format composed of a varierty of authentic projects- presenting Africa´s know-how – Huge market of Arts, Handworks, Authors, Producers, Designers, Film makers, culinary Arts… as well as full package entertainment such as talents shows with bands playing live music, traditional Ballets, dance performances, Forums, workshops and parties with top Djs / Mcs. Each edition bringing together more than 100,000 fun and peace loving visitors.
AfrikAktiv invites you to come and visit the International African festival in Germany powered by the African Diaspora and dedicated to the development of its continent and people. Come and have full service funtime. As a family oriented Festival, children and youths are the heartbeat for our festival, we cherish every one of them.
Our festival offers a special integrated children and youth mini format festival with activities for our young people – special artist with workshops –Acrobatics, clowning, graffitis, dance, creative handworks, special concert just for the young generation under the theme “Empowering the next generation with cultural diversity and humanity values“ For a more visibility on opportunities and potentials available on the African continent and its Diaspora, our festival offers a platform for partnership to all pan-african media and journalist.
Our festival reaches out to more than million people worldwide particularly on the African continent, here you meet your tailored made target groups. Join and follow us on social media – Facebook, Instagrams, Twitter, youtube..The International African Festival Tübingen, Germany offers opens you the door to enjoy Africa´s authentic Arts and listen to African tell their story the way it is.For more information: Web: www.afrikafestival.net'
USAJILI WA "KARATE CLUB OF JUNDOKAN SO HONBU SYSTEM TANZANIA" NI NEHEMA
Sensei Rumadha Fundi, wakiwa na Sensei Pedro Cardeira toka Lisbon, Ureno wakifanya zoezi la mbinu ya kuvunja mkono |
Habari
za uhakika zimetufikia kuwa chama cha Karate club of Jundokan So Honbu
System Tanzania kimepata usajili.Tanzania itasonga mbele na kushika
nafasi za kimataifa baada ya usajili huo kwani Mkufunzi mkuu au Chief
instructor wa chama hicho anayetambuliwa kimataifa na baraza la dunia la
karate la dunia lenye makao yake Okinawa Japan Sensei Rumadha Fundi,
mwenye uzoefu wa vyama vitatu vya Goju Ryu tofauti, pia, alithibitisha
hayo baada ya kupata msaada mkubwa chini ya watu walio karibu sana nae
ambao pia imekuwa ni nguvu kubwa inayo mpa moyo wa kuwa na mfumo huo
asilia toka visiwa vya Okinawa, Japan.
Jundokan
So Honbu, ni mfumo unaofundisha mtindo wa Okinawa Goju Ryu katika
utamaduni na utaratibu uliyowekwa na Master Chojun Miyagi na kusambazwa
na mwanafunzi wake ambaye ni mwanzilishi wa JUNDOKAN, Master Eiichi
Miyazato 1957, huko wilaya ya Asato,mji wa Nana, katika kisiwa cha
Okinawa, Japan.
Maana ya Jundokan " Sehemu ya
mafundisho us mwanzilishi"JUN +DO+ KAN, "jun"ni imekuchuliwa toka jina
la mwanzilishi wa Goju Ryu, Chojun na "Do" ikimaanisha mwenendo, " Kan"
ikimaanisha shule au mafunzo.
Hivyo ndivyo hasa lengo kuu la
mfumo huu asilia usio badilishwa au kugeuzwa jinsi unavyofundishwa tokea
ulipo undwa na Master Miyagi.
Mipango ipo njiani kuwa na tawi
lenye lengo na nia kufuata sheria na kanuni za mfumo asilia tu, bila
kubadilisha mbinu na "Kata" kama jinsi inavyo bainika na mbinu za "
Sports Karate" hasa uchezaji wa "kata" kiujumla.
Hivi
karibuni, huko visiwani Okinawa katika makao makuu ya tawi hilo, jumuiya
ya sanaa ya mapambano " Okinawan BUDOKAN & Karate Federation",
imeitambua "Jundokan So Honbu" kama moja ya mitindo asili"Original"
kutoka Okinawa inayozingatia maadili na mafunzo yaliyo achwa na mua sisi
wa mtindo wa Okinawa Goju Ryu.
Pindi mnamo miezi ijayo,
tutatoa taarifa ya ufunguzi rasmi wa shule ya karate na uteuzi wa
wanafunzi wa kuu wasaidizi ambao Sensei Rumadha atajitoa muhanga
kuwasaidia kimbinu na ubora wa umahili wa mtindo huu na kuhakikisha
mnamo muda wa miaka michache wanapata fursa ya kuwa walimu ( sensei) na
kusambaza JUNDOKAN SO HONBU Tanzania yote.
"Msingi tunao mzuri
na imara kwa wengi wataojumuika nami kuendeleza hii sanaa hapa nyumbani
Tanzania", alisema Sensei Rumadha mwenye uzoefu wa mafunzo hayo ya
karate zaidi ya miaka 37 chini ya " ma-sensei" wakuu toka pande zote za
dunia, hasa toka Okinawa, Japan,Alimalizia hayo.
Na Zainab Ally Hamis (DSJ)
Wednesday, June 22, 2016
Thursday, June 9, 2016
XXL AFRO SUMMER JAM, 30TH JULY
COME AND JOIN US TO FEEL THE SPIRIT & RHYTHM OF AFRICA!!!
Save the date:
30. July 2016 - Kultur Arena, Stuttgart
### XXL AFRO SUMMER JAM, 1st EDITION ###
Save the date:
30. July 2016 - Kultur Arena, Stuttgart
### XXL AFRO SUMMER JAM, 1st EDITION ###
with an incredible concept that is going to turn the crowd on:
# The Ngoma Africa Band live on stage
# Top DJ's from BigFM & Afro Moves
# Dance show performances
# Fantastic arena
# And many more....
ALL YOU CAN GET FOR ONE EVENING.
Get your ticket now!
(xxlafrosummerjam@gmx.de // +49(0)157-32161521)
https://www.facebook.com/ events/1536043496703545/?ti= icl
# The Ngoma Africa Band live on stage
# Top DJ's from BigFM & Afro Moves
# Dance show performances
# Fantastic arena
# And many more....
ALL YOU CAN GET FOR ONE EVENING.
Get your ticket now!
(xxlafrosummerjam@gmx.de // +49(0)157-32161521)
https://www.facebook.com/
Wednesday, June 8, 2016
Wednesday, June 1, 2016
MISS CHANG'OMBE 2016 INATAMBULISHWA KESHO 'MPOAFRIKA' - DAVIS CORNER
KAMPUNI
ya SG Entertaiment imewataka warembo kutoka kata zote zilizopo chini ya
chang'ombe wenye sifa na vigezo stahiki kujitokeza bila kuogopa
kuchukua fomu za kushindani wa Miss Chang'ombe.
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mashindano
hayo Adam Hussein, alisema uzinduzi wa uchukuaji fomu hizo zitaanza
kuchukuliwa kesho kutwa saa 2:00 asubhi na kutarajiwa kuisha Juni 5
mwaka huu eneo la CDS Park (TCC Club) Chang'ombe, Mpo Afrika Davis Kona
na duka la nguo la Chilu Latest Wear.
Mratibu wa Mashindano ya Shindano la Miss Chang'ombe, Adam Hussein,
akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusiana na
kutaka Kuzinduliwa kwa Mashindano ya Urembo Miss Chang’ombe Juni 2 Mwaka
huu. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika Shindano hilo, Victor Mkumbo.
"Miss
chang'ombe rasmi itazinduliwa,kesho katika ukumbi wa Mpo Afrika
uliopo Davis Corner Tandika, hivyo tunaomba mtupe ushirikiano kuja
kushiriki ili kuweza kukuza tasnia hii ya urembo" alisema Hussein.
Mkuu
wa kutengo cha habari kutoka kampuni hiyo Victor Mkumbo, alisema vigezo
vinavyotakiwa kwa washiriki hao ni kuwa na cheti cha kuzaliwa au kadi
ya kupigia kura, kitambulisho cha taifa ili kuweza kuepusha udanganyifu
unaojitokeza mara kwa mara.
"Baadhi
ya washiriki watakao shiriki ni Neema Ogote(20), sitizuhura Husein
(20), Hadija Salumu(18), Anitha Mugisha (19), Dorothea Shayo (20), Anba
Mtua(20), Rehema Mongi (21), na Esther Mnahi(22), kutoka Wilayani
Temeke" alisema.
Alisema fainali ya mashindano hayo yatafanyika Julai 21 mwaka huu katika viwanja vya CDS Park, ambavyo zamani vilijuwa vikitwa TCC Club Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo utasindikizwa na wasanii kibao akiwepo MSAGA SUMU, CHEMICAL, GALATONE na wasanii wengine Kibao huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Diwani wa Kata ya Tandika
NGOMA AFRIKA BAND YATAJWA KUWA BENDI IMARA BARANI ULAYA
Ngoma Africa band imetajwa ni bendi hiliyovuka dhoruba na kushika chati ulaya kianzo kimoja maarufu cha habari barani ulaya AFRONEWS kimeitaja
How Ngoma Africa Band has survived the storm to become one of the most sought-after African bands in Germany http://www.afronews.de/
Subscribe to:
Posts (Atom)