Wednesday, March 31, 2010

TID AKACHA KUSHIRIKI TUNZO YA KILIMANJARO BEER

siwezi kushiriki!!

Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote kutoka pande zote za sayari hii najua mlikua mnasubiria kunipigia kura kwenye hiki kinyanganyiro cha award hizi za kilimanjaro,najua imekua uamuzi muafaka kwangu kujitoa kwene awards hizi basi naomba muelewe sababu zangu hizi za msingi:

1.Kwanza nahisi mimi kama TID na mziki ninao perfom kwa kipindi chote hiki cha miaka saba toka nimepewa tunzo hizi sina umuhimu wa kuwa shiriki sababu hata nikitengeza wimbo ambao unakubalika sana na wapenzi wa muziki huu wa kizazi kipya sipewi tuzo kwa mantiki hiyo naona sioni sababu ya kuwa kwenye tuzo hizi.

2.Pia nilidhani labda ni upungufu wa mawazo ya majaji ama waandaaji ambao imewezekana nilitofautiana nao kipindi fulani nilipokuwa nafanya nao kazi za maonesho,inauma sana unapoona wengine ambao uko nao kwene same field wanapewa nafasi kubwa ambayo pia mimi nastahili kutokana na juhudi ambazo nafanya kwenye sanaa hii ya kizazi kipya hapa nahisi sihitajiki kwani kama wimbo wangu wa bendi ni bora wa mwaka kwanini nisiwe mwanamuziki bora wa kiume mwaka huo,pia hata video zangu huwa za viwango vya juu nazo hazipewi nafasi kwenye video bora za mwaka!

3.Kwa sababu hizi ambazo mimi naona kwangu hazinijengi sioni sababu ya kuwepo kwenye TUNZO hizi tena kwani sidhani kama ni wakati wa kuwaangusha mashabiki wangu ambao natumia muda mwingi na effort binafsi bila ya mdhamini kuwaunganisha na muziki wangu basi nisameheni kama nimewakosea lakini hainisaidii chochote endeleeni na hao mnaowapa kila category i will never stop making good music for my country surely i wont,i was born to do THIS,.. THANKS. from topbandtz.blogspot.com
Tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi ambayo TID aliteuliwa kushiriki
Machozi Band (Nilizama),
African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Top Band (Asha),
FM Academia (Vuta nikuvute),
Extra Bongo (Mjini Mipango).

Monday, March 29, 2010

DJ SPESSO BACK IN TOWN...!


Nicholaus Spesso aka Dj Spesso wengi wanamkumbuka sana hasa alipokuwa anasugua mashine pale Redio Times miaka km mitatu iliyopita.... Mchizi kama akabadilisha upepo pale alipotakiwa kwenda kupiga mzigo pande za Mbeya ktk redio za huko kwa mda km wa miaka mi2 na nusu,
Sasa Jamaa amedondoka town in Dar city! Anapiga mashine palepale ktk kituo cha redio Times na ma-club kibao bongo km Kakala club, na mda c mref mchizi atakamua mbaya pale Golden Bridge Mbezi Tank bovu
So Mdau get ready for DJ SPESSO new year mo supriseeee!!!!
Dj Spesso Wakuacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

HAKUNA HIP-HOP BILA SCIENCE $ PHILOSOPHY

SHULE YA HIPHOP KUTOKA KWA KING KIF

Ndani ya blogu hii leo King Kif namiminika na madude ya muziki wa Hip-Hop ambao hapo zamani hapa Bongo tuliuita muziki wa kufokafoka , hiyo ilikuwa mwishoni mwa miaka ya themanini na tisini mwanzanzoni.Basi bwana, hapa kwanza kabisa kunahitajika kufahamu nini maana ya sayansi na nini maana ya Philosophy.
Science means a techinique to simplify work which includes branches such as mathematics anda Geography.



SAYANSI NA HIP-HOP

Sayansi na Hip-Hop ; Hip-Hop ni lazima iandikwe kwa kutumia mizani , hii ina maana lazima uwe na idadi maalum ya mizania katika mistari ili mashairi yako yaweze kuimbika(kuchanika).
Pia beats (midundo) ya Hip-Hop lazima igonge katika mahesabu maalum ambayo kwa Hip-Hop ni 4 (four) , hivyo hata mistari inahimizwa kuangukia kwenye hesabu hiyo hiyo ya vigawe vya 4(nue) yaani 4,8,12 na kuendelea .
Hapo tunaona wazi hesabu inavyotawala katika uhunzi mzima wa mashairi na beats(midundo) ili kufanya ama kujenga kitu kinachoitwa HipHop.


PHILOSOPHY

Means love anda wisdom (hekima na upendo ) , ni neno (lenye asili ya Kigiriki). Philo means love and Sophia means Wisdom.

Philosophy na Hip-Hop ; ni wazi kabia na haipingiki kwamba muziki huo unaleta upendo ikiwa ni pamoja na kutumika njia ya kuleta ama kudai haki , kukemea unyonjaji katika jamii na kadhalika.


Aidha, mistari ama mashairi bora ni yale yaliyo na hekima yasikilizwapo katika masiko ya watu na si vinginevyo , mfano ni mistari inayopatikana kwenye traki kali iitwayo " I know i can" ya Nas . Traki hii ina maneno ya hekima na upendo ndani yake juu ya maisha kuanzia utoto hadi utu uzima.


MIFANO MINGINE DHAHIRI

Hii hapa mifano mingine kadhaa ya watu ama niandike maemsii walioweza kujiita Hip-Hop mathematic ambao ni kama vile RZA ambaye ni kiongozi wa kundi mahiri la Wu Tang Clan , yupo Cani-Bus , yupo Mos Def .Pia yupo jamaa mmoja aitwaye Keith Muray wa kundi la DEF Squad na wengine wengi .

King kif namaliza hapa huku nikisisitiza Hip-Hop bila Science $ Philoph ni pumba tupu na hata mashabiki hasa hapa Tanzania waufuatilie kwa undani muziki huu na waache ushabiki mandazi.
MNAOWEZA KUCHANGIA KWA KUSIFIA AMA KUKOSOA NICHEKI KWENYE EMAIL AMA NIPIGIE 0714-077040 LAKINI HAKUNA KUBIP.

Friday, March 26, 2010

New Music; SHAJU ft. Dullayo - Jua Nakupenda!!!!


Makavulive combine presents
SHAJU
mkali wa hiphop bongo anayekuja kasi

Mchizi ameshafanya ngoma moja pale Studio 69 inayoitwa JUA NAKUPENDA,
mkono umepigwa na mtaalam TC wakati kwenye chorus kasimama Dullayo!!
Shaju kwa sasa bado yuko bize sana na kitabu, kazi zake tutazipata zaid baada ya kumaliza kitado chake cha sita.

Sikiliza ngoma hio ipo no. 3 kwenye playlist hapo juu

Wednesday, March 24, 2010

Join SWAGGA BOVU Network...........


Jiunge ktk Network mpya ya kijanja SWAGGA BOVU utakutana na mambo kibao ya kijanja mdau


DOWNLOAD "MIXTAPE YA UKWELI VOL.1" NI BURE KABISA...!!


One of the Best Mixtapes of The Year to date, "Mixtape ya Ukweli Vol.1" is Now available to be downloaded for free.

Here is the Link: http://www.zshare.net/download/7404324233ee4cc1/

Fans have been waiting for this moment for a while now especially after hearing cuts like "Take You For a Ride", "Welcome To Ukonga", "Swag", as well as "The Only Reason" all over thw internet and radio stations.

Wakazi is currently working on the second Mixtape, Album and also Videos for his upcoming singles.

www.reverbnation.com/wakazi www.myspace.com/wakazi

www.twitter.com/wakazi www.facebook.com/therealwakazi

Wanasiasa waanza mishemishe za Uchaguzi.....

Msanii wa Bongofleva 'Mkoloni' wa Wagosi wa Kaya akitumbuiza ktk uwanja wa Tanganyika Packers ambapo Bw. James Mbatia (NCCR) alikuwa akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge ktk jimbo hilo la Kawe.

Mishemishe na pilikapilika za wanasiasa zimeanza wakiangalia zaidi Uchaguzi mkuu, huku Wasanii wa kizazi kipya wakitumiwa zaidi kuvuta ma-fans wajisogeze ktk viwanja wanavyofanyia propaganda zao. Uchaguzi mkuu unatarajiwa unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2010

Nominees wa Kilimanjaro music awards



Wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kike.

Lady Jaydee
Mwasiti Almasi
Maunda Zorro
Vumilia Mwaipopo
Khadija yusuphu

Wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kiume

Marlow
Banana Zorro
Mzee Yusuphu
Ally Kiba
Christian Bella

Wanaowania Albamu Bora ya Taarab

Jahazi Modern Taarab (Daktari wa Mapenzi),
Five stars Modern Taarab (Riziki mwanzo wa chuki),
Coast Modern Taarab (Kukupenda isiwe tabu),
New Zanzibar star (Powa mpenzi),
East African Melody (Kila mtu kivyakevyake).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Taarab inawaniwa na

Daktari wa mapenzi (Jahazi Modern Taarab),
Roho mbaya haijengi (Jahazi Modern Taarab),
Msitujadili na Riziki mwanzo wa chuki (zote Five stars Modern Taarab),
Kupenda isiwe tabu (Coast Modern Taarab).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Mwaka inawaniwa na

Marlow (pii pii - Missing my baby),
Diamond (Kamwambie),
Banana Zorro (zoba),
Hussein Machozi (Kwa ajili yako).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi ni

Machozi Band (Nilizama),
African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Top Band (Asha),
FM Academia (Vuta nikuvute),
Extra Bongo (Mjini Mipango).

Tunzo ya Albamu Bora ya Bendi inawaniwa na

African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Kalunde Band (Hilda),
Msondo Ngoma Music Band (Huna Shukrani).

Tunzo Bora ya Wimbo Bora wa R&B wanaowania ni

Belle 9 (Masogange),
Diamond (Kamwambie),
A.T na Stara Thomas (Nipigie),
Maunda Zorro (Mapenzi ya Wawili),
Steve (Sogea Karibu).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Asili ya Kitanzania inawaniwa na

Mrisho Mpoto (Nikipata Nauli),
Machozi Band (Mtarimbo),
Offside Trick (Samaki),
Wahapahapa Band (Chei Chei),
Omari Omari (Kupata Majaaliwa).

Wanaowania Tunzo Wimbo Bora wa Hip Hop ni

Joh Makini (Stimu Zimelipiwa),
Quick Racka (Bullet),
Chid Benz (Pom pom pisha),
Mangwea (CNN),
Fid Q (Iam a professional).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Reggae inawaniwa na

Hemed (Alcohol),
Dabo Ft. Mwasiti (Don't Let Go),
Man Snepa (Barua),
Matonya Ft. Christian Bella (Umoja ni Nguvu).

Kwa upande wa Wimbo Bora wa Ragga, wanaowania ni

Dully Sykes (Shikide),
Bwana Misosi (Mungu yupo bize),
Drezzy Chief (Wasanii),
Benjamin wa mambo jambo (Fly).

Tunzo ya Rappa Bora wa Mwaka inawaniwa na

Chokoraa
Ferguson
Kitokololo
Totoo ze bingwa
Diouf

Tunzo ya Msanii Bora wa Hip Hop ni

Joh Makini
Chid Benz
Mangwea
Profesa jay

Tunzo ya Wimbo Bora wa Africa Mashariki inawaniwa na

Blue 3 Ft. Radio and Weasal (Where you are),
Kidum Ft. Juliana (Hturudi nyuma),
Cindy (Na Wewe),
Radio and Weasal (Bread and Butter),
Kidum (Umenikosea).

Tunzo ya Mtunzi Bora wa nyimbo ni

Mzee Yusuphu
Mrisho Mpoto
Lady Jyadee
Banana Zorro

Tunzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki ni

Lamar
Marco Chali
Hermy B
Allan Mapigo
Man Water

Video Bora ya Muziki wa Mwaka inawaniwa na

Lady Jaydee (Natamani kuwa Malaika),
Diamond (Kamwambie),
AY (Leo),
Banana Zorro (Zoba),
C Pwaa (Problem).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Fro Pop inawaniwa na

Banana Zorro (Zoba),
Ally Kiba (Msiniseme),
Marlow (Pii pii - Missing my baby),
Mataluma (Mama Mubaya),
Chegge (Karibu kiumeni).

Tunzo ya Msanii Anayechipukia
Belle 9
Diamond
Barnaba
Quick Racka
Amini

Tunzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana unawaniwa na

AT na Stara Thomas (Nipigie),
Mangwea na Fid Q (CNN),
Barnaba na Pipi (Njia Panda),
Mwana FA na Profesa Jay na Sugu (Nazeeka Sasa),
Hussein Machozi na Joh Makini (Utaipenda).

Umoja wa wasanii, Afande Sele awafunda masupasta....


Class kuhusu umoja wa wasanii! Mfalme pekee wa mashairi ndani ya Bongo Flava,
Seleman Msindi a.k.a Afande Sele amechana ujumbe
maalum kwa artists wa field hiyo kuacha tabia ya kusepa
vikao vya kujadili mwenendo wa game vinavyoendelea
hivi sasa ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa
vikijadili kuhusu umoja wa wasanii.

Msindi alinyetisha hayo last Weekend muda mfupi baada
ya kumalizika kwa kikao cha kujadili muziki huo
ambacho kilihudhuriwa na nyota kiduchu.
“Jamaa wanatakiwa wafahamu kwamba hivi vikao vina
umuhimu, hakuna wa kutusaidia kudai haki zetu kama
sisi wenyewe tutashindwa kuwa na umoja... Nawasihi
sana washkaji wasisepe, waje tuweke mikakati,” alisema

Afande ambaye anapenda kuitwa Baba Tunda.
Members wa chama hilo, ambao tayari wameshajisajili
BASATA ikiwa ni pamoja na kulipa ada hukutana kila
wakati kujadili mambo mbalimbali ya muziki huo, lakini
wasanii upcoming wamekuwa wakitia timu kwa wingi,
huku masupastaa wakikacha kiaina.
badfuvu.blogspot

Thursday, March 18, 2010

2010 Africa Movie Academy Awards (AMAA) Nominees.....!

BEST DOCUMENTARY
1. Wanba Ngoma (Tanzania)
2. Peace Wanted Alive (Kenya)
3. Bariga Boys(Nigeria)
4. En quette d’identite (Burkina Faso)
5. Innovating for Africa (Nigeria)

BEST SHORT FILM
1. Mahala – (Mozambique)
2. The Abbys Boys –(South Africa)
3. The Painter – (Uganda)
4. Suara La – (Nigeria)
5. The Camera (Nigeria)

BEST ANIMATION
1. Hanayns Shoe (Egypt)
2. Adventure of Alayo (Nigeria)
3. Zoodo – (Burkina Faso)
4. Lyrics – (Algeria)
5. One Step of Love (Algeria)

BEST FILM BY AN AFRICAN FILMMAKER IN DIASPORA

1. Soul Diaspora
2. Okra Principle
3. China Wahala
4. Crunch

BEST FILM IN AFRICAN LANGUAGE
1. Omo Iya Kan – (Nigeria)
2. Aldeweden – (Ethiopia)
3. Togetherness Supreme – (Kenya)
4. Imani – (Uganda)
5. Game of my life – (South Africa)

HEART OF AFRICA AWARD FOR BEST FILM FROM NIGERIA
1. Nnenda by Izu Ojukwu
2. Freedom in Chain by Bond Emeruwa and Fred Amata
3. The Child by Izu Ojukwu
4. Figurine by Kunle Afolayan
5. High Blood Pressure by Teco Benson

AMAA ACHIEVEMENT IN SOUND
1. The Tenant
2. Season of a life
3. Perfect Picture
4. I sing of a well
5. Soul Diaspora

AMAA ACHIEVEMENT IN EDITING
1. Season of a life
2. The Child
3. Perfect Picture
4. Heart of Men
5. Lilies of the Ghetto

AMAA ACHIEVEMENT IN ART DIRECTION
1. I sing of a well
2. Fulani
3. The Child
4. Figurine
5. Imani

AMAA ACHIEVEMENT IN MAKE-UP
1. Heart of Men
2. The Child
3. The King is Mine
4. I sing of a well
5. Fulani

AMAA ACHIEVEMENT IN COSTUME
1. Perfect Picture
2. Prince’s bride
3. The Child
4. I sing of a well
5. Lilies of the Ghetto

AMAA ACHIEVEMENT IN VISUAL EFFECT
1. The Child
2. Figurine
3. A sting in a tale
4. Fulani
5. Heart of Men

BEST ORIGINAL SOUNDTRACK
1. Seasons of a life
2. Imani
3. A sting in a tale
4. The Child
5. Figurine

BEST PERFORMANCE BY A CHILD ACTOR
1. Teddy Onyago and Bill Oloo- Togetherness Supreme
2. Tobi Oboli – The Figurine
3. Feyisola Ewulomi – Champions of our Time
4. Treasure Obasi – Champions of our Time
5. Mfanafuthi Magudulela – Game of my life

MOST PROMISING ACTRESS
1. Martha Kisaka – Togetherness Supreme
2. Chelsea Eze – Silent Scandal
3. Martha Ankomah – Sins of the Soul
4. Ashionye Michelle Ugboh- Jungle Ride
5. Rahema Nanfuka – Imani

MOST PROMISING ACTOR
1. Wilson Maina – Togetherness Supreme (Kenya)
2. Wale Ojo – The Child (Nigeria)
3. John Dumelo – Heart of men (Ghana)
4. Pethro Tumba Mbole – A game of my life (South Africa)
5. Sunny Chikezie – Lilies of the Ghetto (Nigeria)

BEST PERFORMANCE BY AN ACTOR IN A SUPPORTING ROLE
1. Godwin Kotey- I sing of a well
2. Francis Duru – Nnenda
3. Yemi Blaq – High Blood Pressure
4. Adjetey Anang – The Perfect Picture

BEST PERFORMANCE BY AN ACTRESS IN A SUPPORTING ROLE
1. Doris Sakitey – A sting in a Tale
2. Funlola Aoifeyebi-Raimi – Figurine
3. Tapiwa Gwaza – Seasons of a life
4. Yvonne Nelson – Heart of Men

BEST PERFORMANCE BY AN ACTRESS IN A LEADING ROLE
1. Bimbo Akintola- Freedom in Chains
2. Jackie Apia, Lydia Forson and Naa Ashokor, Mensa-Doku – The Perfect Picture
3. Stephanie Okereke- Nnenda
4. Flora Suya – Season of a life
5. Akofa Edjeani Asiedu – I sing of a well

BEST PERFORMANCE BY AN ACTOR IN A LEADING ROLE
1. Lucky Ejim – The Tenant
2. Majid Michael – Sin of a soul
3. Ramsey Noah – The Figurine
4. Odera Ozoka – Soul Diaspora
5. John Osie Tutu Agyeman – I Sing of a well

BEST SCREENPLAY
1. Season of a life
2. The Tenant
3. Freedom In chains
4. Guilty Pleasures
5. I sing of a well

AMAA ACHIEVEMENT IN CINEMATOGRAPHY
1. The Perfect Picture
2. Figurine
3. I sing of a well
4. The Child
5. The Tenant

BEST PICTURE
1. Seasons of a life (Malawi)
2. The tenant (Nigeria)
3. The Perfect Picture (Ghana)
4. The Figurine (Nigeria)
5. I sing of a well (Ghana)

BEST DIRECTOR
1. Shemu Joyah- Seasons of a life
2. Shirley Frimpong-Manso- The Perfect Picture
3. Kunle Afolayan – Figurine
4. Leila Jewel Djansi – I sing of a well
5. Jude Idada and Lucky Ejim – The Tenant


SHEREHE ZA TUZO HIZO KUFANYIKA NIGERIA APRIL 10, 2010. TANZANIA TUKIWATUMEWAKILISHWA NA WABNA NGOMA!!!!!!!!!!

LOVY LONGOMBA KULA SHAVU KWA PRODUCER Ryan Leslie MAREKANI..!


Lovy Longomba msanii ambaye ana uraia wa Kenya na Congo mwenye ujamaa na Awilo Longomba anaweza kupata mkataba wa kurekodi na Producer mkali wa Marekani anayeitwa Ryan Leslie iwapo atawin ktk kile kinyanganyiro cha Talenthouse Ryan Leslie creative contest ambacho yeye pia alishiriki. Upigaji Kura umefungwa leo March 17 na matokeo ya mshindi wa dili hio yatatolewa March 31 mwaka huu.

Produer Ryan mwaka jana alifanya kazi na Mary J. Blige, Chris Brown, Fabolous, Keri Hilson, Rick Ross, Jim Jones na Kid Cudi.

Baadhi ya ngoma alizofanya ni Cassie - Long Way To Go, Danity Kane - Ooh Ahh, Donell Jones - Better Start Talkin', Fabolous - My Time (Ft Keri Hilson) pia alishirikishwa kuproduce Beyonce’s Keep Giving Your Love To Me (Diddy & Youndlord) na Loon - Down For Me (alioproduce na Diddy).

Wednesday, March 17, 2010

Wakati Rapper DMX anapigwa six month jela, Lil Wayne anatafutwa kwa makosa ya madawa!!!!

Rapper DMX ametupwa lupango kwa muda wa miezi 6 jana huko Phoenix baada ya kukamatwa tena ktk mji wa Arizona na kushtakiwa kwa kukiuka masharti aliyopewa awali akiwa chini ya uangalizi (Probation) ila anaweza kuachiwa mapema km ataikubali drug rehab program


Naye Weezy akutokea mahakamani huko Arizona jana kwa kuwa bado anatumikia kifungo chake cha mwaka mmoja jela, majamaa hawajajali km mchizi ameshindwa kwa kuwa yuko selo.... na kutoa Bench warrant akamatwe fasta!! kwa kuwa bado wanamshitaki kwa kukutwa na Bangi grams105, cocaine 29 grams na 41 grams za ecstasy pills pamoja na ile pistol kwenye ile tour bus yake.


Tuesday, March 16, 2010

Skiza ngoma ya Hiphop Imesimama bloguni....!

Wasanii wakali wa Hiphop na Freestyle Baghdad kushoto na Xdizo katikati wakiwa na mkongwe wa kusugua chapati Dj Juic ktk pozi la kinyamwezi

Bagdad aka G u c c i B*o*Y alichomokea ktk freestyle za Mc shujaa zilizoandaliwa na Dj fetty ametoka na ngoma yake kali inayoitwa Hiphop Imesimama ambayo imetengenezwa na Baucha Rec. sambamba na Xdizo aliyeachia 24/7 aliyofanya Collabo na Bagdad + Nikki Mbishi. Ngoma zote hizo zipo kwenye Playlist hapo juu, Skiliza af tuone nani mkali zaidi yao!!!



Wadau wengi wamekuwa wakimfananisha BAGDAD na mkali kutoka Jamaica Sean Kingston pichani, kutokana na mili mikubwa walikuwanayo!!!!

Thursday, March 11, 2010

Dullayo tena.....

Msanii wa Bongo fleva Dullayo amesema ataachia ngoma zanke zingine hivi karibuni ikiwa ni baada ya Naumia roho nyimbo aliyoiachia July mwaka jana.
D Timing amesema safari hii anaachia ngoma 2 kwa mpigo ambapo ataachia nyimbo inayoitwa Bluetooth On aliyofanya peke yake na Chuzi Doa aliyomshirikisha mkali wa Hiphop mwenye hasira za kifaru Black Rhinno.
Kaa mkao wa kula mdau.........

The 2010 Kora awards kufanyika April 4, Ouagadougou Burkinafaso..



List ya Finalist wa KORA 2010 baada ya kupigiwa kura, ikionyesha Jina la msanii Nyimbo na Nchi anakotokea. Kati ya hawa wasanii 40 Tanzania itawakilishwa na Lady jay Dee "Binti Machozi" aka Komando Jide. Sherehe hizo zitakazofanyika tarehe 4/4/2010 huko Burkinabe zinategemewa kupambwa na wasanii wakali kutoka Marekani

1 . Paul G.
Freaking Me Out
Angola

2 . Ardiess
Danse danse
Benin

3 . Dikakapa
Mmalobeto
Bostwana

4 . Amity Méria
Siko
Burkina Faso

5 . Bright Phase
Africa Abong
Cameroun

6 . Elizio
Make Love on Tempo
cape Verde

7 . Chelbi & mpassi
Mama
Comorous

8 . Extra Musica
La Main Noire
Congo Brazza

9 .Espoir 2000
Abijan Farot
Côte d'Ivoire

10 . Fally Ipupa
Droit Chemin
D.R.C

11 . Micaiah
Delelegn (Seduce me)
Ethiopia

12 . Pierre Akendengue
Bekelia
Gabon

13 . Ba Cissoko
Silani
Guinnée Conakri

14 . Wahu
Sweet Love
Kenya

15 . Bassekou Kouyaté & Ngoni Ba
Segu Blue
Mali

16 . Gal Level
Falling In Love
Namibia

17 P.Square
Do Me
Nigeria

18 . Michael Ross
It's Over Now
uganda

19 .Black Diamond
Safouloo
Sénégal

20 .Shasha Marley
Maata Family
GHANA

21 . Lady Jay Dee
Siku Hazigandi
Tanzania

22 .King Nee
Well Well
Togo

23 .Mampi
Your Love
Zambia

24 .Oliver Mtukudzi
Chikara
Zimbabwe

25 .Barbara Kanam
Jardin d'Amour
D.R.C

26 .Bisso Na Bisso
Show ce soir
Congo Brazza

27 .Wendy
M'BASIDA
Burkina Faso

28 .Floby
Kardjatou
Burkina Faso

29 .Arafat & De Bordeau
CONFIRMATION KPANGOR
Côte d'Ivoire

30 .Dj Léwis
Abidjan c'est chic choc
Côte d'Ivoire

31 .Costoleta
Xiriri
Angola

32 .Banky W
Show Time
Nigeria

33 M.I.
Safe
Nigeria

34 .Kel
Waa wa Alright remix
Nigeria

35 .Wande Coal
Bumper 2 Bumper
Nigeria

36 .Yvonne Chaka Chaka
Umbambe
South Africa

37 .Lira
Wa Mpaleha
South Africa

38 .Zamajobe
Nokutula
South Africa

39 .Hamed Smani

Burkina Faso

40 .Da LES
We are on fire
South Africa

Best Artist or Group (East Africa) Jay D M-TZ pekee ktk kinyang'anyiro Tuzo za KORA..!


A Star - In the name of Jesus (Kenya)




Blu 3 - Burn (Uganda)



Chebli & M'Passi - Mama (Comoros)



Klear Kut - Klear Discussion (Uganda)





Lady JayDee - Siku Hazigandi (Tanzania)










Micaih - Delelegn (Seduce me) Ethiopia







Michael Ross - It's Over Now (Uganda)




Nameless - Salari (Kenya)







Ras Minik ek Cool is I - Pirataz (MAURITUS)





Suzan Kerunen - Ngom (Uganda)



Valerie Kimani - Besame Mucho (Kenya)








Wahu - Sweet Love (Kenya)




Lady Jay Dee ala shavu tena Tuzo za KORA 2010....!

When you speak of the New Queen of Music in Tanzania, you definitely speak of LADY JAYDEE. She embarked when Tanzania new age music (Bongo Flava music) started to earn respect from fans. She has managed to capture the local markets with her beautiful, powerful vocals and her true life lyrics and sing along melodies.

Born Judith Wambura Mbibo in 1979, Lady Jaydee is undoubtedly the most popular female artist to date. Her New Age African womanhood gives her a well-deserved recognition as The Tanzania Music Queen. With four albums in the market, Lady JayDee is so far the most awarded Musician in Tanzania, winning an Award at least every year since 2001 to Date from Tanzania Music Awards, BBC Awards, Pearl of Africa Awards To Africa Music Video Awards.


LADY JAYDEE AWARDS & ACHIEVEMENTS

- Winner of 'M-Net Where U @ Awards 2001' for the Best Female Artist in Tanzania
- Winner of two 'Tanzania Music Award 2001/02' for The Best Female Artist and The Best Video for her 'Machozi' (tears) album
- Winner of 'Youth Achievements Awards 2003' for The Best Song and The Best Video of 'Usiusemee Moyo'
- Nominee for 'Kara Music Awards 2003' as The Most Promising Female Artist in Africa for her song 'Siri Yangu' (my secret)
- Winner of ' African Music Video A wards 2003' in South Africa for The Best Video in East Africa 'for the video 'Machozi'.
- Winner of Tanzania Music Awards 2004 for 'The Best RNB Album' for her 'Binti' (daughter) album
- Nominee for Kora 2004 for the best Female East African Artist.
- Winner of two Channel 0 Awards 2005 for the Best video in East Africa and the Best Collaboration Song in Africa
- Nominee for Kara Awards 2005 for the Best Female in East Africa Winner of BBC Radio Award for Song Of The Year 2005 (Distance) Winner of Pearl Of Africa Music Awards for The Best Female Artist ln Tanzania.
- ln 2008 she became the first female musician in Africa to be the Olympic Torch Bearer

Tuesday, March 9, 2010

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2010 YATOA SEMINA KWA WASANII......

Wakiwa ktk harakati za kuelekea ktk Kinyang'anyiro cha Tuzo za KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2010 waandaaji wamewaandalia semima wasanii na wadau wa muziki Tanzania ktk kuelezana taratibu na namna ya kuwapata washindi wa Tuzo hizo.

Semina hio ilifanyika leo ktk Hotel ya Paradise jijini Dar es Salaam. Pata picha za matukio mbalimbali hapa chini.







Wasanii wakongwe wa Muziki wa kizazi kipya pia walipewa fursa ktk semina ya Kili awards zitakazo fanyika hivi karibuni, kulia Drezzy Chief kutoka kundi la Big Dogg Posse (BDP Kamili)

Monday, March 8, 2010

Wanawake warefu zaidi Duniani..................



Kati ya wote hawa hapa juu, huyu Sandy Allen ndiye anayesemekana kuwa mrefu zaidi yao baada ya kuidhinishwa na Guinness Book of World Records “world’s tallest woman – living” akipimwa na kukutwa na urefu wa 7′ 7 1/4″ lakini bado ni mfupi kwa yule mwanaume mrefu zaidi Bw. Xi Shun ambaye ye ana urefu wa (7′ 8.95″)

Mwanamke mkali wa Taarab kujulikana March 28, Vodacom yabariki mpambano....!

Ule Mpambano wa "Nani mwanamke mkali wa Taarab Tanzania" utakao fanyika ktk Ukumbi wa Traventine Hotel Magomeni siku ya tarehe 28 March mwaka huu umepeta baraka kutoka kampuni ya simu za mkononi Tanzania VODACOM ambao watatoa zawadi kwa washindi na kudhamini Tamasha hilo.



Mtanange huo utakaokutanisha wanawake wanaong'ara sana na kutambiana ktk miondoko ya Taarab wataonyeshana nani zaidi huku mashabiki waki-jaji, usiku huo wa tarehe 28 ya mwezi March mwaka huu, Traventine Hotel Magomeni.

Huku bendi ya Jahaz Morden Taarab chini ya Mfalme Mzee Yusuph ikisindikiza mpambano huo wa aina yake, baadhi ya wanawake watakaoshiriki ktk show hio ni pamoja na malkia wa Taarab Khadija Kopa (TOT), Mwanahawa Ally (Jahaz), Zuhura Shaban (Znz), Isha 'Mashauzi' (Jahaz) na wengine.

Tamasha hili la Mpambano wa mwanamke mkali wa Taarab limedhaminiwa na VODACOM TANZANIA na DIDA CLASSIC BOUTIQUE iliyopo Kinondoni Vijana.

XDIZO NI KAMA JUELZ SANTANA.........




Mkali wa freestyle bongo .. XDIZO ameachia ngoma yake inayoitwa 24/7
Wasanii aliowashirikisha ni BAGDAD, NIKKI MBISHI na DULLAYO
Producer KISAKA
Studio IMMOTION RECORDS

Anajifananisha na Juelz Santana kwa sababu anaflow km anatokea New York

Sikiliza ngoma ya kwanza kabisa ktk Playlist hapo juu

Ngoma ya Baghdad "HIPHOP IMESIMAMA" yazua Beef na Nikki Mbishi na Stereo...!

Xdizo akiwa na Bagdad

Ile Beat ya nyimbo ya Baghdad aliyoiachia hivi karibuni "Hiphop Imesimama" ambayo ilifanywa ktk studio za Boucha Records imelalamikiwa na msanii mwingine mkali wa freestyle Nikki Mbishi kuwa imeibwa kutoka ktk mmoja wa msanii mwenzake wa kundi lao la Crooked Dog Crew anayeitwa Stereo, ambapo beat hio awali ilifanywa na Producer mkali Ludigo.

Nikki Mbishi

Nikki amesema 'Bagdad tryna mess up with a crooked dogs crew, that's it, ye na prod. wake wameiba bit ya Stereo mkono wa Ludigo'

Tulipomchek Bagdad ye alisema 'Ye hana makosa ila kosa litakuwa la maProducer'

Hivi karibuni wakali hao wa freestye za Dj fetty walikutana na XDIZO na kufanya ngoma moja kali ya Hiphop Crunk inayoitwa 24/7 ktk studio za Immotion Records chini ya Producer Kisaka.