PapaaDolaa & Chedu2R na ngoma "Michano"
ikiwa ni Nafasi waliojishindia katika Msimu wa kwanza katika shindano
la PUNCH KWA MTAA, inayoendeshwa na DJ Mwaka ndani ya MJ FM Radio,hawa
ni wawili kati ya washindi wanane jumla katika Round ya kwanza zawadi
kuu ikiwa ni Kurekodi nyimbo katika Studio ya Noizmekah. Pata kudownload
HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Papaa Dolaa kupitia +255 753 470 004 powered by www.vmgafrica.com
---------
PapaaDolaa & Chedu2R-Michano http://goo.gl/tDbm2m

No comments:
Post a Comment