Wakata mkaa wenye roho mbaya Chege na Temba wameachia track yao mpya
ambayo inaitwa WAUWE wamemshirikisha kijana mmoja kutoka mkubwa na
wanawe anaitwa Maromboso, wimbo umefanywa na Producer Shirko kisha
mastering imefanywa na
Dr. Chali a.k.a Marco Chali, kutoka MJ Rec.
No comments:
Post a Comment