Monday, June 16, 2014
UNOFFICIAL RELEASE YA LANGA Ft. Julio & T.I.D
Ikiwa ndo mwaka mmpja tangu msanii mkubwa wa kizazi kipya bongo fleva na mmoja wa washindi wa COCACOLA popstars LANGA,siku 5 kabla ya kufariki kwake aliweza kumalizia ngoma yake ya mwisho ambayo ilikuwa inahusiana na maisha yake,na ndio siku waliokutana na Julio batalia ambaye aliyekuwa mshiriki wa bigbrother 2012 na mwenye ngoma iitwayo Haina Noma -ft chege na madee na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku kama hii alikuwa uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus,Pata ngoma hii ambayo kila ukiisikiliza utaona Langa alikuwa anaongea na Mashabiki wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment