Pages

Monday, August 11, 2014

Madrasat Rahman ya Segerea Dsm inahitaji mchango wako

ASALAM ALEYKUM

Rahman Nursery school & Madrasat Rahman Segerea ,Dar-es-salaam inahitaji msaada wako kuchangia msingi wenye mahadili mazuri kwa watoto

Waheshimiwa mabibi na mabwana,
Shule ya chekechea na madrasa Rahman ,ya Segerea jijini Dar-es-salaam inawaomba wahisani na wafadhili wote wapenda maendeleo ya elimu.Kuwa michango yenu ya vifaa vya kusomea,michezo n.k,inahitajika.
Wadau ,wafadhili na wahisani wote michango yenu inakaribishwa ili tuweze kujenga msingi wa elemu yenye mahadili mema kwa watoto wetu.
 Kwa maelekezo zaidi tafadhari piga simu namba +255(0) 757 608303 au 0712840960
 Pia mnakaribishwa kuja Segerea kuona Madrasa na shule yenu ya
Chekechea. hipo karibu na Msikitini Segerea mwisho jijini Dar.

Michango yenu ndio msingi wa elimu yenye mahadili mema kwa watoto.

No comments:

Post a Comment