Vimwana
wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la picha,ikiwa ni sehemu ya
maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika
kwenye Ukumbi wa TCC klabu Chang'ombe jini Dar es Salaam leo Agosti
22,2014.
Jumla ya washiriki 17 kutoka vitongoji vya Mbagala, Kurasini na Chang'ombe watapanda jukwaani leo kuwania taji
hilo huku Globu ya Jamii ikimzawadia kitita cha Sh. Mil 1 Mrembo
atakaeonekana ana mvuto wa picha (Miss Photogeni 2014).
Mnyama TID atakuwepo kusindikiza Mtanange huo wa warembo 17.
No comments:
Post a Comment