Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band
yenye makao yake kule Ujerumani,inatoa salam maalumu za sikuu ya nane
nane kwa wadau wote walio nyumbani Tanzania na nje.
Sikuu kuu ya nane
nane ambayo mwaka huu 2014 inafanyika kitaifa mkoani Lindi.
Kikosi cha
Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinawatakia kila la heri na baraka
katika Nane Nane oyeeee!!!!
Usikose kupata burudani at http://www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment