Monday, September 29, 2014

STEVE R&B "POLE POLE"

Baada ya tour ndefu za nje ya nchi, Msanii mahiri wa RnB Tanzania, Steve RnB leo September 18th, 2014, ameachia single yake mpya inayoitwa Pole Pole ambayo iko kwenye midundo ya Reggae --**Tropical Riddim**.
Artist : Steve RnB
Song : Pole Pole ( Tropical Riddim)
Producer : C9
Click below to listen and download the song:

http://www.hulkshare.com/l86itq1mey2o

No comments:

Post a Comment