Tuesday, October 21, 2014

REST IN PEACE "YP"





Msanii wa Bongofleva YP aliyekuwa member wa kundi la TMK FAMILY amefariki dunia ktk hospitali ya Temeke jijini Dar usiku wa jana. Mkubwa Fella kiongozi wa kundi hilo amethibitisha, taarifa zaidi zitafuata badae!



MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU "YP"


No comments:

Post a Comment