Inasemekana Ras Makunja ndie msanii anayepiga gwanda za kutisha, na sheria
ya nchi ya ujerumani inamuruhusu, kwa hizo ajafunja sheria ya bongo
Gwanda
za mkuu wa kikosi cha FFU-ughaibuni Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa
band ambaye pia ni mmliki wa himaya ya Viumbe wa ajabu "Anunnaki
Empire" yenye makao yake kule Ujerumani,gwanda za mkuu huyo hazina
uhusiano wowote na JWTZ,na zoezi linaloendeshwa hapa bongo la kuwasaka
wasanii wenye mavazi ya kijeshi ,kamanda Ras Makunja na kikosi
chake haliwahusu kwani wao wanaishi nje ya mipaka ya Tanzania,lakini
kama ingekuwa wanaishi hapa labda ndio...
Habari zimetonya
kuwa mwanamuziki huyo nyota wa kimataifa anayetamba na Bongo Dansi lake
kule Ughaibuni Ras Makunja anakijua nini anachokifanya na pia anaheshimu
sheria za nchi yake Tanzania kwani gwanda zake uzivalia nje ya mipaka
ya Tanzania ,na anapokuja Tanzania kwa likizo yeye ni raia mwema tu vianzo
vya habari vimetonya.
mwanamuziki mwingine mwenye gwanda za kutisha
katika kikosi cha Ngoma Africa band ni Soloist wa bendi hiyo Christian
Bakotessa aka " Afande Chris-B Mshenzi wa solo gitaa" hawa
jamaa wanatishaga kule ughaibuni majukwaani wao kuvaa gwanda ni kitu cha
kawaida ulaya tena wakisindikizwa na ulinzi wa maaskari wa ulaya !
watupie jicho kambini kwao www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment