Monday, November 17, 2014

ANANG'ERENG'ETA

Hii ni katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Chalii ya Jambo Squad Chalii Mtoto wa Bibi, Grandmaster Records imeamua kumzawadia release ya ngoma hii "Anang'ereng'eta" _ Slim Deezy & Jambo Squad ikiwa ni mkono wa John B, isikilize au download hapa; https://mkito.com/song/anangerengeta/3500

No comments:

Post a Comment