Pages

Thursday, December 4, 2014

"I DONT CARE" Video ya MONTE LEGO Kuachiwa Soon!!

Montelego ft mirror
Kazi imefanyika ndani ya studio ya Kiri record 
produz: Rush Don. Wimbo huu unaitwa I don't care..  kwenye Video
anaonekana
@Montellego26 anavyoelezea maisha yake na @mirra26 ndiye anaonekana kwenye kiitikio. 

 Hii ni mara nyingine tena Muziki wa bongo fleva unazalisha msanii chipukizi wa Hip Hop ambae masikani yake Kinondoni dar es salaam. Na itaachiwa video kwanza kabla ya Audio kwa mujibu wa msanii huyo Monte legoo

Video itaachiwa hivi karibuni ndani ya mwezi huu. @Montellego26 @nyandutozzy @duwesantana .....

No comments:

Post a Comment