Lets FlashBack to the lyrics za nyimbo iliyofungiwaga ya Nyambizi kutoka kwa Dully Sykes 2003.
KIITIKIO
Nyambizi
nakupendaa japoo Mkuubwaa,
Mateso ninayopato usiku ni makuubwaa!
Naomba unielewee uwewangu mchuumbaa,
Nyambizi nakupendaa japoo mkuubwaa!
Mateso ninayopato usiku ni makuubwaa!
Naomba unielewee uwewangu mchuumbaa,
Nyambizi nakupendaa japoo mkuubwaa!
(verse 1)
Cheki, night kali nilimtembelea Eddy Tazz, katika yake kazi, ya ulinzi, hukooo Tangi Bovu Mbezi.
Basi
tunapiga story si ndo kapita nyambizi, Na mwendo wa mapozi, nami nikampigia
mluzi.
Basi
akasimama akapiga hatua saba mithili ya mtu anayetaka kukaba, halafu akaja
akaniuliza;
Kwani weee
nani? (Hidaya)
Nikamwambia
mie naitwa Prince Dully Sykes, basi alishangaa huyoo!
Haa kumbe
nd'o uliyeimba Julietha, yaani siamini! (Hidaya)
Nikamwambia
naomba uniamini.
Kwani
tulishawahi kuonana lini? (Hidaya)
Ok!
nakumbuka ilikuwa siku ya Valentine up to date empire mjini, ulikuwa na rafiki
yako alibeba mfukowa nylon.
Haa
n'shakumbuka siku ile nilikuwa na Winnie (Hidaya)
Mhhh!
Ulikuwa umevaa kitop cheupe, pamoja no kimini. Kwani wee unafanya kazi gani?
Nafanya kazi
katika shirika la benki nchini lipo palepale mjini (Hidaya)
Anhoha!
Nyambizi, nimefurahi sana kukutia machoni.
Anhahaa
Dullyacha utani! (Hidaya)
Hee,
Nyambizi, wallai nataka nikwambie neno ambalo linanisumbua mi moyoni.
Dully neno
gani (Hidaya)
Nyambizi,
nataka uwe nami maishani.
Kwa hilo
haliwezekani (Hidaya)
Nyambizi kwa
nini?
Unajua Dully
wee kiumri bado upo chini (Hidaya)
Dah!
Nyambizi,japokuwa unamiaka arobainimi nataka uwe nami maishani
Nimesema
haiwezekoni na nnaazidi kuchelewa nyumbani (Hidaya)
Ok! Sasa
Nyambizi tutaonana lini?
Ok! Nakupa
promise njoo Jumapili saa Kumi jioni FM Club Kinondoni
(Hidaya)
(Hidaya)
KIITIKIO
x2
(verse
2)
Jumapili jioni, nilikwenda mpaka FM Club Kinondoni, nikiwa nalindwa na John Wandiba pembeni.
Jumapili jioni, nilikwenda mpaka FM Club Kinondoni, nikiwa nalindwa na John Wandiba pembeni.
Tunafika
getini, tunaona kila mtu anatuangalia sisi usoni. Tukaingia ndani kwa shauku,
humo ndani kulijaa watu.
Siku hiyo
nilikuwa na mapene kama mobutu. Naangalia kushoto, namuona nyambizi jimama,
akiwa na Abby Sykes, nikasogea na kutoa salaam.
Kwenye
mashavu yake Nyambizi nikamshumu, jicho nyannya siku hiyo nilikula ndumu.
Kama
kawaida, baba kasogea katuachia nafasi mie na nyambizi tupate kuongea. Nami
matatizo yangu yote nyambizi nikamuelezea.
Mara naona
anaaanza kunchekea, na macho kunilegezea. Mwisho nyaambizi anaanza kuniambia;
Dully, ombi
lako moyoni nimeliridhia (Hidaya)
Weweee! Hapo
hapo mwani ukaanza kunijia, Nikatamani kumvamia, lakini ule muda wa kuishia
ukawadia.
Hatukutaka
tabu, tukachukua Cab mpaka hoteli yo karibu Kaishi akaanza kupata ulabu,
nilimuuliza maswali hakunijibu,Alibaki kama bubu.
Kwa ajili yo
pombe ilimtoka aibu ilibidi aniambie;
Dully chukua
chumba ukanienzi! (Hidaya)
Nikaenda
mapokezi kulipia chumba cha mapenzi
Mimi na nyambizi mpenzi, tukaingia ndani, tukaanza na romans, pole pole tena kwa pozi.
Mimi na nyambizi mpenzi, tukaingia ndani, tukaanza na romans, pole pole tena kwa pozi.
Ukawadia ule
muda wa dozz, nikamuuliza, Nyambizi tunaweza kulala?
King'asti
unataka kulala ushakula? (Hidaya)
Aah!
Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu, nipe japo kiduchu, mi n'shachoka kupiga
puchu!
Dully
nakuonea huruma usije ukadata, haya kazime taa uje kupata! (Hidaya)
Huwii!
Nikaenda kuzima taa ili nipate n'nachotaka. Nyambizi mama la kitanga, kiuno
kizima kajaza shanga.
Huwezi
kuamini kwa jinsi alivyozipanga, kala mkorogo unaweza kujua ni mmanga!
Jimama kote
anacheza, hadi sodoma. Japo kanimeza lakini mchezo anauweza.
Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza. Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza.
Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza. Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza.
Semenimeni,
semenimeni mpaka morning, nyambizi haniachi, hasikii wala haoni.
Nami
sitoweza kumuacha, usiku huo ilikuwa bila zana. Ngoma dry ajali kazini mpaka
kunakucha, Wwaaa!
KIITIKIO
No comments:
Post a Comment