Bofya HAPA http://goo.gl/6YgpAO
kupakua wimbo wa Kumuenzi Ebbo kwa jina "BADO NAIMBA" toka kwa mr
"KAJOLI MASAI" ikiwa ni maalum kwa kumuenzi Marehemu Mr.Ebbo kwa maana
Tarehe kama ya Leo Mwezi kama huu ndipo Mr.Ebbo aliaga Dunia, Daima
atakumbukwa na nyimbo zake milele zitabaki kutukumbusha mchango wake
katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania, Kwa
Mwasilano/mahojiano zaidi na Kajoli Masai check Nae kwa Nambari +255 755
497 334 powered by www.vmgafrica.com
--
Kajoli Masai-Bado Naimba http://goo.gl/6YgpAO
No comments:
Post a Comment