Hapa tume waletea track mpya
ya Msanii wa hip hop Bac-T toka pande za Kigali Rwanda. ngoma inaitwa
Jikubali, akimaanisha kila mtu anapaswa kujikubali kutokana na uwezo
wake wa kutenda mambo, ila ukikubaliwa usivimbe kichwa sababu kikivimba
sana kita pasuka.
i sikilize najua utaipenda iko ktk miondoko ya hip hop.
kwa kuwasiliana na Bac-T call +250788781609. email. bigbact@gmail.com
No comments:
Post a Comment