Bendi
maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka
FFU-ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki aliens inayoongozwa na
mwanamuziki mashuuri Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja inaungana
na wadau wote wa habari duniani kwa kuwatakia kila la heri na baraka
wanahabari na vyombo vyao kwa kusherehekea siku ya Uhuru wa Habari
duniani.
Bendi inaungana na wadau wote wa habari kwa wimbo maalumu wa
"Uhuru wa Habari" utunzi wake kamanda ras Makunja.
Sikiliza song: Uhuru wa Habari
No comments:
Post a Comment