Ni mkono wa Umbwa aka Chindo Man from Watengwa Family na Vocals zikiwa
chini ya Defxtro wa Noizmekah Productions na Humu wanapita Sister
P-Culture na JCB. Ngoma inakwenda kwa Jina Life Can Be,ni inspirational hiphop joint yenye mistari ya kuelimisha jamii, Pata kuusikiliza HAPA
na endelea kusupport muziki wa Tanzania, kwa mawasiliano zaidi na
Mwanadada P-Culture chek naye kupitia nambari +255 782 123 700 powered
by www.vmgafrica.com
-------------------------
http://www.hulkshare.com/x5o4v6uhaolc
-------------------------
http://www.hulkshare.com/x5o4v6uhaolc
No comments:
Post a Comment