Mwandishi mashuhuri wa Novel kutoka Nigeria PROF. CHINUA ACHEBE amefariki dunia akiwa na miaka 82. Hakika alikuwa na bado ataendelea kuwa Babu wa Fasihi za Kiafrika.......!
Friday, March 22, 2013
Thursday, March 21, 2013
Filamu ya Ngono “The Adventures Of Wapipi Jay” imeachiwa tena Part 2 Ghana........
Watengeneza filamu wa Ghana wameiachia filamu ya pili ya ngono nchini Ghana "Adventures Of Wapipi Jay", kwa mara ya kwanza kabisa Ghana pornographic movie ilitolewa 2007 ambapo ilitoa mstuko mkubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaowatambua wahusika wakuu ktk filamu hii wakiwalaumu kwa nini wamejiingina ktk mradi huu wakuchukiza.
Licha
ya hasira kubwa na malalamiko mengi ya kukataa filamu hio, watengenezaji wa sinema hio, Wakiki
Entertainment wametoa Part 2, ambayo inauzwa sana miongoni mwa jamii ya Ghana nje ya nchi. Baadhi wanamini pia inapatikana katika maduka kadhaa nchini Ghana.
Movie hio imefanyika ktk mitaa ya Ghana, waliocheza na wazalishaji wote wanatokea Ghana pia.
Sound tracks ya movie hio ni kutoka kwa nyimbo za wasanii wanaojulikana ambao ni pamoja na Lumba, Ofori Amponsah, KK Fosu na wengine. Wahusika
wakuu (ma-sterling) waliocheza pia ni jamaa wanaofahamika ambao ni wanaume wawili, Wapipi Jay na K. Bonsu wakati wa kike ni Adjoa, Akosua, Fatima na wengine.
Just Dance FRIDAY @ Ambassadors Lounge..... IJUMAA HII
Thanx
Kwa Watoto Wazuri Wote Na Wana wote Kutoka U.D.S.M Na I.F.M Na CBE Na
Wengine Wote Mliojitokeza Kwa Wingi Sana Na Muda Wote Mlikuwa Kwa Dance
Floor IJUMAA ILIYOPITA,Sasa Tufanye Hivyo Tena IJUMAA HII (22.03.2013)
Na KILA IJUMAA,"Jus Dance Friday" Ndio Habari Ya Mjini Sehemu Ni
AMBASSADORS LOUNGE,Mziki Mzuri Mwendo Wa Club Bangers Rnb/ Hip
Hop,Pop,Ragga,Naija,Kwaito N Introducing Kidogo Funk Arabic &
Indian cLUB sONGS,Kwenye Wheels Kama Kawa Kama Dawa Ni Mr Skills Dj
Steve B,Dj Bulla Na Dj Skit (Kenya),Kuanzia Saa 3 Usiku Unachangia Elfu
10 Tu Halafu Kama Vipi Tuna "Jus Dance" Ol Night Long
New Sound; ONE @ A TIME
Listen & DownLoad "Banx Masebo Gentriez Wizzo & ManBatoo-One at a Time" HERE proudly Brought to your attention by GoodNation & Noizmekah Production Studios Arusha.
Wednesday, March 20, 2013
WYRE msanii pekee EastAfrica ktk Tuzo za Reggae na Muziki Duniani....!
Tuzo za IRWMA (International Reggae and World Music) zimepangwa kufanyika May 4, 2013 huko Fort Lauderdale, Florida kwa Obama.East Afrika inawakilishwa na Wyre 'the love child' msanii kutoka Kenya.
Sherehe hizi za Tuzo zinafanyika kuheshimu mafanikio na michango ya Wasanii wa Reggae na tasnia ya muziki ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na: watunzi, performers,
promoters na wasanii.
Nominees kutoka Africa ni (kwa category):
Best New Entertainer
Wyre (Kenya)
Best Female Vocalist
Nkule Dube (SA)
Best Female Vocalist
Nkule Dube (SA)
Best African Entertainer
Fally Ipupa (Congo)
D’banJ (Nigeria)
P-Square (Nigeria)
Nkulee Dube (South Africa)
Liquideep (South Africa)
Daddy Muss (Sierra Leone)
Sarkodie (Ghana)
D’banJ (Nigeria)
P-Square (Nigeria)
Nkulee Dube (South Africa)
Liquideep (South Africa)
Daddy Muss (Sierra Leone)
Sarkodie (Ghana)
Most Outstanding Dance Group
Djembe Druming (Africa)
Kura zimeshaanza kupigwa, sasa unaweza kuBofya HAPA na kumchagua msanii unayependa ashinde.
"MAKALLA WA UKOO" Mixtape Coming Soon.......
Coming soon ni "Makalla wa Ukoo" Mixtape check out tha tracklisting Hapa
1 MakallaWaUkoo & JCB ft Banx & Lavost-Be Yourself
2 MakallaWaUkoo & Chindo ft Keneh-Snitch
3 MakallaWaUkoo & Papaya ft Banx-Lookin for
4 MakallaWaUkoo & SlimDizzy-2000 BC
5 MakallaWaUkoo ft Banx-Everywhere we go
6 MakallaWaUkoo ft DomoKaya-Niende Wapi
7 MakallaWaUkoo ft Donii-Blazee
8 MakallaWaUkoo ft KJuu-Michano
9 MakallaWaUkoo ft Nakaaya-Feeling
10 MakallaWaUkoo ft SteveDaddy-Majaribu
11 MakallaWaUkoo ft Vinega-Jishone
12 MakallaWaUkoo -Sweetest
13 MakallaWaUkoo-Criminal Minds
1 MakallaWaUkoo & JCB ft Banx & Lavost-Be Yourself
2 MakallaWaUkoo & Chindo ft Keneh-Snitch
3 MakallaWaUkoo & Papaya ft Banx-Lookin for
4 MakallaWaUkoo & SlimDizzy-2000 BC
5 MakallaWaUkoo ft Banx-Everywhere we go
6 MakallaWaUkoo ft DomoKaya-Niende Wapi
7 MakallaWaUkoo ft Donii-Blazee
8 MakallaWaUkoo ft KJuu-Michano
9 MakallaWaUkoo ft Nakaaya-Feeling
10 MakallaWaUkoo ft SteveDaddy-Majaribu
11 MakallaWaUkoo ft Vinega-Jishone
12 MakallaWaUkoo -Sweetest
13 MakallaWaUkoo-Criminal Minds
AND MANY MORE TO COME, KEEP IT HIPHOP ALL DAY!!!
Uwoya kuwatoa Chipukizi wa Filamu Moro na Dom.....
Irene Uwoya, mmoja kati ya waigizaji bora Bongo yuko mbioni kutoa ajira kwa waigizaji 30 wakazi wa Morogoro na Dodoma walio na vipaji kwenye filamu yake mpya inayotazamiwa kutoka mwezi Juni mwishoni..
J4C na WANAHASO Screenshot
J4C yupo chimbo akiandaa Video ya track yake ya "WANAHASO"
kama screenshots zinavyoonesha hapo ikiwa ni track alorecord Pande za
Fnouk Records kwa Samtimber, Ikiwa ni kazi ya tatu toka kampuni ya VMG Africa,ya kwanza ikiwa ni "Wish u To Stay" ikafatiwa na "Lullaby ya FBG" endelea kusikiliza kazi ya Wanahaso HAPA wakati video ikikamilishwa foe launch next week...
ASHANTI Preview her Coming Album "BRAVEHEART"
Ashanti’s new album Braveheart
as suffered some push backs but is currently due this Summer. She held a
Ustream session a couple of days ago to update fans on the current
state and her other ventures like the Army Wives TV show. During the
socialization, she also played snippets of a few new songs from the
album, including the next single ‘Never Should Have’.
Tuesday, March 19, 2013
NAMTAMBULISHA "J ONE" KUTOKA KAHAMA
Huyu ndiye J One, Msanii katika mahadhi ya Bongo Flava kutoka katika mji
wa madini Kahama. Anatambulisha Ngoma yake mpya ikiambatana na Video
akimshirikisha Msanii wa Mwanza Baraka Prince, Ngoma Inakwenda kwa jina
la Kisharo sharo.
Unaweza kuipata video ya J One ft Baraka Prince- Kisharo Sharo kupitia: http://www.youtube.com/watch?v=M2d-ztc6Pxo
KIDIGITALI ZAIDI......
Raisi mteule wa Kenya 'Uhuru Kenyata' na makamu wake 'William Ruto' in Digital Generation wakiplan Serikali mpya ya ki-Jubilee
Lil Wayne aruhusiwa kutoka Hospitali leo...
Good news for the Young Money camp: Wayne has officially been released from the hospital, according to TMZ. The majority of his time in the facility was spent in the ICU, and he was in there for a total of about 6 days. If the cause of this incident was indeed drug usage, then let’s hope this makes Wayne open his eyes a bit when it comes to illegal substances.
Monday, March 18, 2013
New Sound; Pax ft. Bobray - "HUSTLER BOY"
Pax aka Hustler Boy amshirikisha Bobray ndani ya Hiphop Joint "Hustler
Boy" pini ilopikwa studio za noizmekah Arusha support track hii na
muziki wa Tanzania kwa kudownload HAPA .Pia jipatie Tshirt kali za
HUSTLER BOY toka wa PAX kwa 15k tu,Kwa mawasiliano zaidi check na Pax
Kupitia nambari +255 655 787 800
Boy" pini ilopikwa studio za noizmekah Arusha support track hii na
muziki wa Tanzania kwa kudownload HAPA .Pia jipatie Tshirt kali za
HUSTLER BOY toka wa PAX kwa 15k tu,Kwa mawasiliano zaidi check na Pax
Kupitia nambari +255 655 787 800
Thursday, March 14, 2013
VIDEO MAKING ya ngoma mpya ya CHRIS BROWN "FINE CHINA"
Chris Brown yupo ktk mchakato wa kutengeneza Album yake mpya itakayoitwa Carpe Diem, pande za L.A akiwa na mtoto mkali wa ki-china hivi sasa anashoot video ya nyimbo yake mpya inayoitwa "Fine China"
Tuesday, March 12, 2013
Baada ya 'Rum & Raybans" kufanya vibaya SEAN KINGSTON aachia ngoma mpya.. "BEAT IT" ft. Wiz Khalifa & Chris Brown
Kwa muda mrefu Sean Kingston amekuwa akifight kutengeneza album yake ya "Back 2 Life". Baada ya single yake ya ‘Rum & Raybans’ akimshirikisha Cher Lloyd aliyoiachia mwishoni mwa mwaka jana kubuma, hii leo ameachia track mpya inayoitwa ‘Beat
It’ akiwashirikisha Chris Brown na Wiz Khalifa.
Em tuone mnyamwezi na hii haitaBuMaaaaaa!!!!?
SSEN LUBI AACHIA WIMBO MPYA
SSEN LUBI |
KUTOKA SAUTI ZA AFRIKA, MMOJAWAPO WA MSANII WA KUNDI
HILO AMBAYE SASAHIVI ANAKUJA JUU KWENYE
ANGA ZA MUZIKI WA BONGO FLEVA AKIWA CHINI YA SEDUCTIVE RECORD AMEACHIA MZIGO WAKE MPYA ………..BAADA YA KUFANYA VIZURI
KWA WIMBO WAKE NA VIDEO YAKE YA FUNGU LA KUKOSA
MSANII SSEN LUBI AMEACHIA SINGLE YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA “USIUDANGANYE MOYO WAKO”………CHINI YA MTU
MZIMA PRODUCER MR. T . TOUCH AMBAYE
NDIYE MPISHI WA WIMBO KUANZIA VOKO MPAKA BEAT. SSEN AMBAYE KWA SASA YUKO JUU
KWENYE ANGA ZA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TAYARI YUPO CHIMBO AKITAYARISHA VIDEO YA
WIMBO HUU……..AMBAPO MUDA WOWOTE KUANZIA
SASA.
WASIFU WA SSEN
JINA LA MSANII : SSEN
LUBI
JINA LA WIMBO : USIUDANGANYE
MOYO WAKO
STUDIO : SEDUCTIVE
RECORD
PRODUCER : MR.
T. TOUCH
MAWASILIANO YA
MSANII : 0719 208090
NICKI MINAJ AJILOWESHA KABLA YA VIDEO SHOOTING YA "HIGH SCHOOL" ft. Lil Wayne
Akiendelea kupush mzigo wake wa Pink Friday: Roman Reloaded, Nicki Minaj mda c mrefu alianza kushoot video ya nyimbo yake “High School” featuring Lil Wayne. Picha mbalimbali akiwa anajilowesha ktk pool…
Monday, March 11, 2013
New Sound; CJAMOKER ft. Cosby - "MOVE ON"
Fonce B
Oscar Alfonce aka CJAMOKER ni msanii na pia prodyuza anaefanya vizuri sana ktk game ya muziki hapa bongo. Kwasasa anakuja na nyimbo mpya kabisa inayoitwa MOVE ON akiwa amemshirikisha COSBY wa BHit's, nyimbo imefanyikia ktk Studio za Feel Good Musics zilizopo Sinza Mapambano akiwa ametengeneza yeye mwenyewe.
Kabla ya hii ngoma mpya anayoiachia hivi sasa Cjamoker aliachia nyimbo inayoitwa "You make me feel" mwaka 2008 na baadae "Collabo" mwaka 2010 akiwashirikisha Soggy Doggy na ManSu-Li.
Wakazi to U.S.A to shoot the Video for "Weekend"
Wakazi (Tanzania) left earlier this week heading to Chicago for the
video shoot of his collaborative song, "Weekend" with the West African
artists Reezon (Ghana) and Chibbz (Nigeria) and produced by Mobeatz
(Ghana). The song has been doing good in the airwaves of Ghana,
Nigeria and Tanzanian radios as well as online radios in US and
Europe. The video will be shot in Chicago this weekend starting Friday
March 8th and ending on Saturday March 9th, and is expected to be
released early next month.
here is the download link for the Audio, for those who have not heard
this certified banger for the summer and beyond...
download link: http://www.hulkshare.com/rgfedda45h4w
you can follow the artists on twitter at @Wakazi @TheReezon
@Chibbzceasar @Mobeatz5
video shoot of his collaborative song, "Weekend" with the West African
artists Reezon (Ghana) and Chibbz (Nigeria) and produced by Mobeatz
(Ghana). The song has been doing good in the airwaves of Ghana,
Nigeria and Tanzanian radios as well as online radios in US and
Europe. The video will be shot in Chicago this weekend starting Friday
March 8th and ending on Saturday March 9th, and is expected to be
released early next month.
here is the download link for the Audio, for those who have not heard
this certified banger for the summer and beyond...
download link: http://www.hulkshare.com/rgfedda45h4w
you can follow the artists on twitter at @Wakazi @TheReezon
@Chibbzceasar @Mobeatz5
KAIJAGE BEMA AACHIA WIMBO WAKE WA KWANZA
MSANII CHIPUKIZI TOKA PANDE ZA MBEZI BEACH
JIJINI D`SALAAM AMEACHIA WIMBO WAKE MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA ZAINA, WIMBO HUO AMERKODIA TOKA STUDIO ZA
IGGO RECORD CHINI YA PRODUCER MACHACHARI ANDREW. TAYARI KAIJAGE AMEFANYA MATAYARISHO YA KUREKODI NYIMBO ZAKE 3
KWENYE STUDIO HIYO.
WASIFU WA KAIJAGE
JINA LA MSANII
: KAIJAGE BEMA
JINA LA
WIMBO : ZAINA
STUDIO : IGGO RECORD
PRODUCER : ANDREW
SIMU : 0716 552139
New Sound; MANI MANI - "NITAIMBA NAE"
Msanii chipukizi toka Arusha mwenye shughuli zake nyingi Monduli "Mani Mani" aja na dancehall "Nitaimba nae" download HAPA and support Tz music
Wednesday, March 6, 2013
Mdogo wa Ray C "ESLYN" aachia PRIDE DOWN
Kwa
muonekano wa ghafla waweza dhani hivyo tokana na mfanano fulani wa sura
au labda pozi za picha, labda tufatilie kwa undani yawezekana kuna
undugu tusioufahamu kati yao but in the mean time fanya ku-Download this
new Bongo RnB song "Pride Down" produced at Noizmekah Studios ndani akiwemo Mwanadada Eslyne na sauti yake ya kinyamwezi toka Arusha Tanzania Bofya HAPA
Tuesday, March 5, 2013
New Sound; NAS BIZINESS - "SKENDO"
NAS Biziness (NAS Maujanja) awazungumzia Wasanii waliotoka/na wanaoendelea kutoka kupitia Skendo mtaani na magazetini....
Ameachia ngoma hii mpya akimshirikisha ElIfAsI, production yake mwenyewe kutoka PAMOJA REC.
Enjoy
Google celebrates Miriam Makeba’s Birthday
Google always has really creative doodles–those creative pictures
that they put above the search box. On March 4, 2013, the doodle is
dedicated to a lady, known to many as Mama Africa.
Miriam Makeba would have been 81 years old today. A singer with a
powerful voice, and even more powerful message, she found herself exiled
for her songs against the unjust nature of apartheid. Her most popular
songs included ‘Pata Pata’, ‘Malaika’, the ‘Click Song’ but any
performance by her was a treat. Her voice was gentle, yet powerful; her
message important and timely.
On her 81st birthday we celebrate the woman that made us think about
apartheid, see it for what it really was, and mobilize to make a
difference.
Happy birthday Miriam Makeba. You are sorely missed.
New Sound; LADY YOO - "SI KWAMBA"
Mwanadada Yolanda aka Lady yoo ana mengi sana mwaka huu 2013 kwa maana
FemCee huyu anaewakilisha vema pande za Sanawari arachuga amekwisha
kamilisha collabo track mpya na msanii "YungOmega" wa river camp
soldiers katika pini litakalo toka baadae mwezi wa nne iitwalo "kivipi"
ila kwa sasa Lady Yoo anakupa kazi yake mpya kabisa toka www.noizmekah.com ambayo ni release ya pili muundo wa hiphop concious track inaitwa "Si Kwamba" download HAPA na kwa mahojiano zaidi piga simu nambari +255 655 394 470
TIDO NA WIMBO WAKE MPYA "KIDAMPA"
Toka pande
za Mbezi Beach Makonde msanii anayechipukia wa bongo fleva ambaye ni gumzo
kwenye vijiwe na mitaa ya makonde, aitwae Tido ameachia single yake mpya
inayokwenda kwa jina la kidampa. Akiwa kwenye matayarisho ya kuandaa albamu
yake ambayo bado hajaipa jina tayari wimbo wake huo wenye maadhi ya mduara
umeanza kushika kwenye vituo mbalimbali vya Redio. Kazi nzima imefanywa na mtu
mzima Andrew kwenye studio za IGGO Record.
Wasifu wa
msanii Tido
Jina la
kisanii : Tido
Wimbo : Kidampa
Studio : Iggo Record
Mtayarishaji : Andrew
Mawasiliano
ya msanii : 0656 042746
Subscribe to:
Posts (Atom)