World News

Tuesday, September 15, 2009

Msanii wa bendi 'Fm Academia' King blaise kutoka na album binafsi Idi 2..!!

MSANII nguli wa bendi ya Fm Academia King Braize wa2 kushoto amekamilisha kurekodi albam yake mpya 'site mirrow' inayotarajiwa kuzinduliwa katika ukumbi wa New Msasani Club siku ya Iddi pili, wengine pichani ni Kardinali Jento na Sauti ya Radi, wa1 kushoto ni Afisa uhusiano wa Tigo Mr. Jackson Mmbando.
King Braize atakuwa msanii wa1 kurekodi albamu yake binafsi akiwa ndani ya bendi hiyo.Alisema albamu hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo nane ambazo zina ubora wa hali ya juu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...