World News

Friday, September 18, 2009

Msanii wa hiphop Tz aishiye Ujerumani amemchana live prodyuza wa Bongo redioni.!!


Msanii wa hiphop "BEEZY" ambaye anaishi German kwa miaka zaidi ya 10 sasa amemchana prodyuza mkali bongo alipokuwa anahojiwa leo mchana na ma-presenter wa XXL ya clouds fm iliyopo Mikocheni Dsm na kusema kuwa 'mchizi alimuahidi kumfanyia promo ya ngoma yake kwenye redio stesheni za bongo kwa kitita cha shs. millioni 1 na ushee ivi, instead jamaa amekunja mkwaja na hamna lolote alilomfanyia.
Alipokuwa akilalamika jamaa alisema huku bongo ana mandugu zake kibao ambao angeweza kuwapa huo mkwanja hata wakasomea skul, ila alitoa special kwa ajili ya muziki wake....

Mwanzoni mwa mwezi September nilipata kucheck lyrics za ngoma aliyoiachia ikiwa inamdiss live prodyuza Maco kupitia blog ya dj fetty, na leo jamaa kamchana live kupia redio! Mdau check lyrics hapa chini, ngoma inaitwa MY PEOPLE


"Not everybody can know what I went through
Issues nyingi sana but now its all good
I made mistakes like everybody been doin
I lost I won,thats Life,I gotta keep on goin
I trusted Marco Chali,but he was lying on me
Nilikupa Million Chali
Niambie what happened with it??
I ain¥t mad at you,I know you fake now
Never talk to me keep my name out ya mouth"

And then I signed my first deal what I still regret
I made more money before and you all know that
You cant get "When We Ride" it is my song dawg
My fans know,you know,even your fans know
But homie I was sayin "Nobody can stop me"
Only god can judge me,he got his hands on me
I learned out of it,I gotta let it go
What goes around comes back you know


Beezy talkin:
What goes around comes back Marco!
One god damn Million!
Waambie watanzania what happened with that Million aliyokupa BEEZY
mh..Chali...
You know I don¥t give a damn about that money,but I was really thinkin
you are my goddamn brother man

1 comment:

  1. marco alivyofanya co ishu wala nn.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...