MAKAVULIVE BLOG
Friday, September 4, 2009
Mwana FA & Sugu ndani ya Collabo jingine!
Mwana FA amezuru USA ambako atafanya collabo song na mkongwe wa
Bongo Flava bongo
Sugu jiwe wanaloliita
"Dunia Yako" ikiwa ni ktk maandalizi ya album mpya ya kwake Sugu inayoitwa VETO
ktk studio ya prodyuza wa kiTanzania ( Stiggo ) inayoitwa
S&S Records
iliyopo BrookLYN
, New York.
Baada ya "Nazeeka Sasa" ya Binamu, sasa ni "Dunia yako" kutoka kwa Sugu, em tuone maujanja kutoka kwa ma-prodyuza tofauti!!!!!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment