World News

Friday, October 30, 2009

Wasanii wa Bongo watoka teehe Channel O...!

Wasanii wa Hiphop Bongo Mwana fa & Ay pamoja na Black Rhino walioshiriki tuzo za Channel O 2009 wamekosa tuzo tena usiku wa kuamkia leo ktk shoo ya Channel O AMVAs iliyokuwa ikifanyika Carnival City, Gauteng jijini J'bourg. Wakati Darey na buffalo Souljah wameibuka kidedea baada ya kujizolea tuzo mbili kila mmoja, Nigeria ndiyo inayoongoza kwa kuchukua tuzo 5. Hivyo Tanzania inaonekana Kura hazikutosha, tukiwa kama wadau tunatoa wito kuwasupport wasanii wa nyumbani kwa kuwapigia kura nyingi ili waweze kuibuka kidedea, kwani uwezo tunao ila kura...!


John-Mark West aka X.O.D (extraordinary) mzaliwa wa Uganda aliyetwaa tuzo ya Video Bora Afrika ya Mashariki

Washindi wa Tuzo hizo ni kama ifuatavyo:-

1. BEST MALE VIDEO
Darey for Not The Girl

2. BEST FEMALE VIDEO
Sasha for Only One

3. BEST NEWCOMER
Khuli for Tswak Stik'em

4. BEST DUO OR GROUP
Buffalo Souljah/Taygrin/Gal level for My Type Of Girl

5. BEST DANCE VIDEO
Lady May for Ndota

6. BEST RAGGA DANCEHALL VIDEO
Buffalo Souljah for Judgment

7. BEST AFRO POP
Gal Level for Touch Me

8. BEST KWAITO
Gazza feat. Bleksem for Passop

9. BEST R&B VIDEO
Darey for Not The Girl

10. BEST HIP HOP VIDEO
Zeus for Gijima

11. BEST AFRICAN SOUTHERN
Lizha James for Estilo Xakhale

12. BEST AFRICAN WEST
Ikechukwu for Shoobeedoo

13. BEST AFRICAN EAST
Xod for I Want You Back

14. VIDEO OF THE YEAR
Naeto C for Ki Ni Big Deal


Tuzo maalum 'Special recognition award' ilikwenda kwa Marehemu Brenda Fassie na kupokelewa na mwanae Bongani Fassie

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...