World News

Monday, November 2, 2009

Mimi 'the gossip' wa Bigbrother Afrika III Aachia album yake mpya " Music in me"....!!

Mimi Abu Adani, mshiriki aliye wakirisha Ghana ktk Bigbrother Afrika 3 amekamilisha na kuzindua album yake inayokwenda kwa jina la Music in me huko Accra Ghana.

Mimi anayejiita 'Divalish' pia anajulikana kama ‘Ghana’s Lady Gaga’ ameachia Album huku vyombo vya habari na majamaa kibao wakikosoa muziki wake.

Mimi mwenyewe anaukubali muziki wake, pia anasema ameingia ktk hii game ili kuupeleka mziki ktk level nyingine huku akiisifia video ya nyimbo yake inayoitwa "DJ".“My music is dynamic; I can do anything depending on the timing. My song ‘DJ’ is house; it is very different from ‘Tattoo’ and ‘Leave Me Alone’. This is what I am talking about, we are about to change the music industry. ‘Leave Me Alone’ is across Africa right now. When you watch Big Brother Revolution, you would realize that every single person in the house sings my song when it is played.”

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...