Msanii mwigizaji wa filamu anayekuja juu ktk fani hiyo akiwa ktk pozi mbalimbali za kichokozi, binti huyu ambaye inasemekana yuko juu kimahaba 'mwenye mvuto' anaandikwa sana na magazeti ya udaku nchini

mitego hio..
Aunt, pia anaonekana ktk video mpya ya Matonya 'spare tyre' akiipaisha juu kwa maujanja



No comments:
Post a Comment