World News

Thursday, February 4, 2010

Vanessa Perroncel; Kicheche kilichongonoka na wachezaji wa5 wa Chelsea..!

Mwigizaji na model wa Ufaransa Vanessa Perroncel akiwa ktk pozi.
Vanessa aliyekuwa mke wa Wayne mchezaji wa zamani wa Chelsea kwa sasa anachezea Man City, ametembea na nahodha wa timu hiyo John Terry kiasi cha kupata mimba yake ambapo imezua gumzo mjini London hivi sasa.


Wayne Bridge akiwa na Vanessa enzi za mapenzi yao, wameishi miaka minne na kufanikiwa kupata mtoto mmoja


Wayne na rafiki yake John Terry, licha ya kugunduliki kuwa Terry kamchapa demu wake pia kuna wachezaji wengine wa Chelsea wanaotajwa kumpitia kimwana huyo japo wanakanusha, yupo Drogba, Desail, na wengine

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...