World News

Friday, February 12, 2010

"Kikwete ndiye atatutoa" - Papii Kocha


Mwanamuziki Nguza Viking, maarufu kwa jina la Babu Seya, akimfariji mwanawe, Papii Nguza, wakati Mahakama ya Rufaa Tanzania ilipotoa hukumu ya rufaa yao kwa kuamuru waendelee na kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kulawiti watoto, Sinza, Dar es Salaam.

Maofisa Magereza wakiwasindikiza washtakiwa wa familia moja wa kosa la kulawiti watoto, kuingia katika Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam jana asubuhi. kuanzia kushoto ni Nguza Vickig na wanawe Papii Nguza,Nguza Mbangu, na Francis Nguza.


Nguza na mwanae Papii Kocha wakirejeshwa lupango kutumikia kifungo cha maisha.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...