Kesho ni sikukuu ya MAULID siku ya kuzaliwa Mtume Mohamad ambapo waislam na watu wengine watakuwa wakisherehekea sikukuu hiyo.
Blog yako ya MAKAVU inawatakia Kheri na Maulid njema wadau wote duniani.
Moja ya Zawadi ya mbuzi na vyakula mbalimbali vilivyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa vituo vya watoto yatima 10 kwa ajili ya sherehe za Maulid zitakazofanyika nchini kesho.
No comments:
Post a Comment