World News

Tuesday, February 9, 2010

New Face of Africa 2010..!


Kisura Lukando Nalungwe awa Mzambia wa kwanza kushinda tuzo ya M-Net Face of Africa baada ya kuwafunika wenzake 9 akiwemo Lilian Mduda aliyetuwakirisha Tanzania ktk mashindano hayo yaliyofanyika huko Eko Hotel nchini Nigeria.

Mwakilishi wa Tanzania ktk Mnet Face of Africa 2010 Lilian Mdunda
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...