Hukumu ya Lil Wayne imeahirishwa tena baada ya jengo la mahakama kuwaka moto. Msanii huyu awali ktk kesi yake ya kumiliki Gun kinyume cha sheria alikutwa na hatia mwezi October mwaka jana na kutakiwa kuanza kutumikia kifungo hivi karibuni ila Kifungo hicho kiliahirishwa kutokana na matatizo ya meno yaliyokuwa yakimsumbua.
Sasa hii ni mara ya 2 mchizi anasevu kuingia Lupango
Sasa hii ni mara ya 2 mchizi anasevu kuingia Lupango
No comments:
Post a Comment