Mchana kama nilikuwa na Dullayo sehemu flan hivi kwa lunch, mnyamwez anapiga stori nyingi sana huku tunakula
Tulikuwa na Ua flan pichani kulia full kicheko D km alikuwa anakwepa kula msosi wake anabaki akichekesha tu
Baada ya mda tukamaliza kula, plate ya D ikiwa bado iko full kimtindo mchiz km katania iviii
Dah..!! mhudumu wa msosi aliposafisha meza tu, jamaa akaagiza Biere fasta.....
No comments:
Post a Comment