Gumzo limezuka ktk ile kampeni ya kuchangia CCM kwa sms na kutumia baadhi ya wasanii wa bongofleva, kutoka ktk globu ya jamii wadau wengi wametoa comments zao hapa chini zikiwa ni baadhi tu......
HAHAHA HABARI NDIYO CCM JUU!!! KAMA UNAPATA KERO SANA JINYONGE. HIYO NDO HABARI MDAU UKITAKA CHANGA UKITAKA ACHA.... ASANTE WASANII NIMECHANGIA PIA...
Unachangia ndoo ya maji baharini? CCM wamebana pesa za wanachama wa Desi sasa wanajifanya kuchangisha ili kujustfy matumizi manono wakati wa uchaguzi.
Wasanii mnachangia au mnajiandaa kula tenda wakati wa kampeni? Nature mzigo huo unakuja changia changia si zitarudi?
Nyie mmechangiwa T-shirt kuwauza wabongo?
for more comment check na Michuzi blog
Mtoa Maoni: Anonymous
nyie mmechangia au nyie mmelipwa kuwekwa kwenye tangazo?
umaskini wa akili ni kitu kibaya sana.
Mtoa Maoni: Anonymous
Umasikini wa akili anaomaanisha mchangiaji wa kwanza siyo tusi hata kidogo, bali ni tafsiri zenu hapo zisizo sahihi. Kuwa na umasikini wa akili ina maana umepungukiwa uwezo fulani wa kuyachambua mambo kwa mapana yake na kufanya maamuzi sahihi. Mfano, Prof J na ndiyo mzee akilaani uongozi mbovu wa CCM, Mwana FA na usije mjini, akimaanisha kuwa ufukara umekithiri Tanzania vijijini na mijini n.k. Hivyo hawa watu wasingeunga mkono hizi kampeni kama kweli wanamaanisha wanayoimba. Hawawezi kuwa mfano wa kuigwa.