Thursday, May 27, 2010

Makhirikhiri wawasili Dar, kuanzia show mei 29 Kanda ya ziwa.... Dar kupigwa mbili june 4 na 6..!

Kiongozi wa kundi la Makhirikhiri akiongea na wanahabari Uwanja wa ndege wa Mwl. Nyerere jana usiku mara tu walipowasili nchini, kushoto ni mratibu na msemaji wa kituo cha redio Times ambao ndio waliodhamini ujio huo na kulia ni msanii wa nyimbo za asili Tanzania Wanne star.

Kikosi kizima cha 'Makhirikhiri'

Kiongozi wa kundi hilo kutoka Botswana Moses Mapela 'Shumba Rashega' akionyesha show pamoja na Wanne Star baada ya kuwasili jana usiku

kwa hisan ya mdau Victor Mkumbo

1 comment:

  1. where can we buy the tickets for Makhirikhiri show in Dar es salaam?

    ReplyDelete