Tunashukuru MUNGU kwa kila jema alilotujaalia mpaka muda huu, pumzi ya uhai ndio kitu kikubwa kuliko vyote.
Milima na mabonde, vizingiti na mito, maziwa bahari kwa uwezo wake tu tutavuka.
Miaka 5 ya urafiki na miaka 5 ya ndoa. 5+5 = Jumla 10
Tumeshakuwa kama kaka na dada, more than friends
Mimi nahesabu bado miaka 35 nifikie malengo kama ile anivessary nilioipost juzi
Itimie miaka 40 au ikibidi hata 50
MUNGU BARIKI
Ijumaa tutakuwa Zhong Hua kama kawaida tutasherehekea hapo, na yoyote atakae penda kuja kujumuika na sisi anakaribishwa. Machozi Band itaunguruma kama kawaida
From Jide's blog; ladyjaydee.blogspot

No comments:
Post a Comment