Baada ya NAKAAYA, wakongwe nao haooo watua CHADEMA...!
Wakongwe ktk sanaa hii ya bongofleva 'Sugu', 'Gsolo' na 'Mkoloni' wakionyesha kadi zao mpya za CHADEMA mara walipojiunga na chama hicho cha siasa mapema leo, kushoto ni kiongozi wa CHADEMA kijana kabisa Bw. John Mnyika ofisini kwake Kinondoni DSM.
No comments:
Post a Comment