Tamasha kubwa la "Face Off Party" linalomtafuta King & Queen wa Facebook Kenya linatarajiwa kufanyika tena mwaka huu siku ya tarehe 21 August huko Nairobi ktk kiwanja cha KICC likikutanisha vichwa kibao vya wasanii wa Kenya + AY from Tz.,:
- Nameless
- MOG
- Wyre
- Juliani
- A.Y.
- Amani
- Daddy Owen
- Eko Dyyda
- Nonini
- Madtraxx
- Allan Aaron
- P Unit
- Proff
Kampuni ya simu ya Safaricom ndio wanaosababisha tamasha hilo huku wakiahidi kutoa zawadi kemkem kwa washindi, KING & QUEEN kila mmoja atazawadiwa Mac Book pro yenye thamani ya KSh99,999, PlayStation 3, Huawei Android 3G Smart Phone iliyounganishwa na Internet kwa mwaka mzima na paty kubwa kwa wao na rafiki zao 30.
Wadau wa-Facebook wameanza kushindana ku-post msg na vitu zingine kibao ili kuweza kuibuka washindi.....!
No comments:
Post a Comment