Wednesday, August 11, 2010

Kakakuona aonekana Dar..!

KAKAKUONA



Baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach Dar es salaam wakimshangaamnyama kakakuona alipo onekana maeneo hayo Dar essalaam jana wataalamu wa mambo wanasema mnyama huyo ana uwezo wa kutabiri mambombalimbali na mara nyingi huonekana kila baada ya miaka mi5

No comments:

Post a Comment