Monday, September 27, 2010

Mambo ya East African Bash last weekend...!

Show ilianzia Ijumaa pale Da'West ambapo AY, Amani na Ngoni walisababisha
kwenye mashine alikuwepo Dj Manywele moja kati ya maDjs wakali sana hapa bongo

Ngoni ndani ya Da'West Tabata

JUMAMOSI SHOW ILIHAMIA PALE MBALAMWEZI BEACH

hapa wanadafada wakishinda kukata ile ngoma ya ALADJI..... aladji ....aladji..'

'aladji...aladji...'

wadau wakishow luv ndani ya mbalamwezi na zantel

peace n luv

kocha wa yanga Papic nae alikuwepo ktk burudan hio

Amani akilishambulia jukwaa mbalamwezi beach



show ilihitimishwa na mzee wa commercial AY




No comments:

Post a Comment