
Msanii anaeendelea na mafunzo yake ya U-producer nchini Italy Mark-mushi ametoa nyimbo yake nyingine inayoitwa
MZIKI MZURI, hii itakuwa ngoma yake ya pili baada ya ile ya Futeni machozi aliyoitoa mwishoni mwa mwezi wa tatu 2010.....
unaweza kuiskiza nyimbo hio ktk playlist ikiwa kwenye namba ya 24 na kutoa maoni yako juu ya ngoma hio!
No comments:
Post a Comment