Wednesday, October 20, 2010

Ali Kiba & Marlaw ndani ya Africa Music Awards....!

http://egoimagekenya.com/wp-content/uploads/2010/10/africamusicawards.jpg

Msanii mkali Afrika Ali Kiba amependekezwa tena ktk tuzo za London Africa Music Awards 2010 huku Marlaw nae akitia timu ktk tuzo hizo kwa mara ya kwanza.

Ali Kiba yupo ktk nominations mbili,
“Best African Male Act”
na
“Best Artist Eastern Africa”

wakati Marlaw ametajwa ktk
“Best Artist Eastern Africa”.

No comments:

Post a Comment