MAKAVULIVE BLOG

Wednesday, October 27, 2010

KNOW....2010 Hottest MCs In The Game

  1. 1. Eminem Is The Hottest MC In The Game!1. Eminem Is The Hottest MC In The Game!
  2. 2. Jay-Z Lands At #2 On Hottest MCs In The Game List!2. Jay-Z Lands At #2 On Hottest MCs In The Game List!
  3. 3. Kanye West Is Back As #3 Hottest MC In The Game!3. Kanye West Is Back As #3 Hottest MC In The Game!
  4. 4. Drake Returns To Hottest MCs In The Game List At #4!4. Drake Returns To Hottest MCs In The Game List At #4!
  5. 5. Rick Ross Holds Strong At #5 On Hottest MCs List!5. Rick Ross Holds Strong At #5 On Hottest MCs List!
  6. 6. Nicki Minaj Makes Her 'Hottest MCs' Debut At #6!6. Nicki Minaj Makes Her 'Hottest MCs' Debut At #6!
  7. 7. Lil Wayne Is The #7 Hottest MC In The Game!7. Lil Wayne Is The #7 Hottest MC In The Game!
  8. 8. Waka Flocka Flame Lights Up The #8 Spot!8. Waka Flocka Flame Lights Up The #8 Spot!
  9. 9. B.o.B Makes His Hottest MCs In The Game Debut At #9!9. B.o.B Makes His Hottest MCs In The Game Debut At #9!
  10. 10. Ludacris Is The #10 Hottest MC In The Game!10. Ludacris Is The #10 Hottest MC In The Game!
at 13:24

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

TUWALINDE

TUWALINDE


MASLAHI YA WASANII BADO!

Wasanii bado wanalia, wanaibiwa, haki bado haijatendendeka!!!

Mheshimiwa Raisi, tunakumbushia kama ulivyosema ktk Tamasha la Zinduka juu ya Kilio cha wasanii Tanzania kwa kuiangalia upya sheria ya Hakimiliki kuunda kikosi-kazi kushirikiana na wasanii, COSOTA, Polisi, TRA, na Tume ya ushindani, Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, wenye biashara za kuzalishana kusambaza sanaa, wenye studio na kampuni.

"Natambua kwamba kazi zenu
Zinapendwa na zinasikilizwa na watu waliowengi nchini. Lakini vilevile natambua kilio chenu kwamba hamnufaiki sana na jasho la kazi zenu.


Lipo tatizo kubwa la uharamia wa kazi zenu linalosababishwa na mfumo wa kurekodi na usambazaji wa kazi zenu. Hii ni kwa wasanii wa muziki na wale wa filamu".

"Tunataka wote tukae kwa pamoja tuungoe kabisa mzizi wa fitina"

SG Entertainment

SG Entertainment
Tunatengeneza Music Videos, BEI POA! Contacts; +255 712775151. E-mail gereceo@gmail.com. P O BOX 25495 Dar es Salaam. KARIBUNI!!

BONGO FLEVA

BONGO FLEVA
DULLAYO aka D Timing!

Tanzanian shinning artist

Abraham Kassembe aka Dullayo pichani hapo juu alianza mziki soon baada ya kuairisha kitabu jijini Dar es salaam, akisaidiana na prodyuza Marco Chali jamaa alifanikiwa kuingiza sokoni album yake ya kwanza mapema mwaka 2008 ikiitwa "IMANI" ambayo aliitengeneza ktk studio za KamaKawa na Mj recordz ikiwa na nyimbo 10.


Performance zake, mashairi na vocal kali zilimfanya awe one of the famous bongoflava artists in Tanzania, hasa alipoachia nyimbo yake ya ‘Bila yule’ aliyofanya collable na msanii wa hiphop Tz Mwanafalsafa aka Binamu, track ilifanya vizuri na kuingia 10 bora kwenye redio mbalimbali nchini Tanzania.Pia amesha-release nyimbo zingine km 'Muda bado', 'Nipumzishe' na 'Makavu live' aliyofanya na Joslin.


Akiwa bado ana nyimbo kibao kali kwenye album ya kwanza ambayo bado iko sokoni, Dullayo ameshaanza project nyingine na tayari ameachia nyimbo inayoitwa "Naumia Roho", "TWENDE NA MIMI", SUPER STAA na sasa "Mida ya Kazi" unaweza kusikiliza na ku-download bure kabisa kutoka kwenye Playlist hapo juu.

Pia unaweza kumtembelea ktk www.myspace.com/dullayo AU www.facebook.com/dullayo d-timing


MON G

MON G

MON G, born as Ally Ramadhan Ngomage is the hottest new artist to come out of Tanzania. Born on 4th Mar 1986 in Dar es Salaam, Tanzania, this young man is making serious waves in the industry of Bongoflava. The coming R&B Singer...

Mon G rose to fame on 2009 after releasing his single known as “Mtoto wa Dar”, the track entered the top ten numbers in various radio stations in Tanzania especially Zanzibar where it hold number one for eight weeks.

Mon G is a son second born to the six kids family, a singer, and songwriter. Mon G began producing music at the age of 17. . Influenced mostly by EastAfrica singers Digde, Nuruelly, R Kelly, Oliver Mtukuzi and the likes. His first single to release in his career was “Damu yangu”, when he met with Kisaka producer from Emotion records at Kiwalani Dar es salaam 2008 where made a record label for some years. After a few self-taught lessons in various studios, he began to explore the depths of music, join with other artists like Dullayo and Joslin making a collabo song “Fungua Macho” at Bongo records with producer P Funk Majani on 2012.

Mon G execute his skills that have enabled collaboration with other Tanzanian artists Dullayo, Ommy G, Joslin, Salu B and P the Mc. In 2011 realease his RnB collabo song with Dullayo knows as “Uko wapi”, 2012 made another collabo with Salu B called “Jipange” after that he release “Na wewe” and early this year released “Badilika” featuring P the MC. Mon G is young, talented and is definitely not a one-hit wonder, he is set to stay put for a long time. He is now managed to put finishing touches to his heavily anticipated, debut album (Mtoto wa Dar),about to drop soon.

OMMY G

OMMY G
OMMY G Ganstar
Jina kamili Omary Muba aka Ommy G ni mtoto wa1 kati ya watoto wa5 wa familia ya Muba Kindandi Ngunengune, jamaa alimaliza elimu ya sekondary ktk shule ya Al-Haramain high school na baadae akachukua kozi ya Hotel management.

Ommy G, Nominee wa Kili Music Awards 2010 ni msanii mkongwe wa bongofleva Tanzania alianza mziki rasmi 1999 akiwa amevutiwa na wanamuziki kama Remmy Ongala, Marijan Rajabu, Oliver Ngoma, Lokua Kanza, Mase, Busta Rymes, Mystikal, DMX na Jah Rule. Mwanzoni mwa mwaka 2000 alikutana na Nalenale na Pig Black na kuanzisha kundi lao lililoitwa Free Dogs Camp (FDC) na kutoa ngoma iliyowatambulisha rasmi kunako ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya ikiitwa "Kindumbwendubwe" .

Baada ya hapo Ommy G alikaa kimya mpaka 2007 alipoanza kuandaa Album yake na kuachia nyimbo nyingine inayoitwa 'Rudi Mwana' akiwa solo artist na ikifuatiwa na 'Choo Cha Kike', 'Hiphop Imenoga', 'Skiza Mchumba', Wambele mbele na sasa "Mtoto wa Nyumba ile" ambayo ipo ktk mahadhi ya Kiasili

Ommy G ni moja kati ya wasanii wakongwe sana wa hiphop ya bongo mwenye sauti ya kipekee na famous kuliko kawaida, kwasasa mnyamwezi anakamilisha mipango ya kuingiza Album yake sokoni!!

Get ready to give support buddy.

Pia jamaa ni member wa Makavulive, mwenye vision/mission ya kuwa Mtangazaji maarufu Tanzania mbali ya kuwa na fani ya uhotelia! Pata kuskiza nyimbo zake kwenye Playlist hapo juu.


Pages

  • Home
  • ABOUT US
  • WASILIANA NASI
We thank U all for the support, Welkom again...(C) MAKAVU INC.,. Theme images by latex. Powered by Blogger.