
Comedian, Loyiso Gola alitangazwa mwanzoni mwa wiki iliyopita kuwa Host wa show kubwa Afrika ktk utoaji tuzo ya 2010 Channel O Music Video Awards itakayo fanyika huko Sandton Convention Centre, Johannesburg Afrika ya kusini November 4 mwaka huu.
Mchekeshaji huyo maaruf ktk tv za South africa atapigwa kampani na watangazaji mahiri wa Channel O Kabelo na Lungile, Weza, Tana pamoja na Dineo Moeketsi.
Nahisi show ya mwaka huu itakuwa ya kufurahisha na kuchekesha sana.... watanzania tunawakirishwa na wasanii wa3 ktk categories tofauti, yupo Gerry, Shaa na Witness!
Kura bado hazijatoshamdau, endelea ku-vote........
No comments:
Post a Comment