Monday, October 25, 2010

Yaliyojili Party ya Mwisho ndani ya Continental club.......

Mwisho, akiwa na shem wake Leila na Jaffarai ktk Party yake aliyoandaliwa na Multichoice ndani Continental club...

Mapaparazi kutoka media mbalimbali wakilaBata



hollaaaaaaaaw!





ilikuwa ni full kushangweka



Mwisho akiserebuka na shemeji yake Leila






winner wa Bba II Richard akiongea na Clouds Tv




presenters wa Times waki show luv





fans kibao walitinga ndani ya Continental club



watu walishow luv vya kutosha na Mwisho



mzungu mmasai ndani ya nyumba




Willy, Barbara Kimbogi PR wa Multichoice wakishow luv na wadau



kwenye moja na mbili mambo yalikwenda sawasawa..!












mambo ya mduara, sasa mmoja lazima aingie kati aonyeshe maustadi yake kdg....

No comments:

Post a Comment