Michael Jackson alifariki gafla mwaka jana akiwa bado ana umri mdogo wa miaka 51, lakini mpaka sasa bado nyota yake iko juu ktk mauzo.
Mfalme huyo wa Pop anaendelea kupata mafanikio makubwa zaidi duniani kuliko wafu wengine huku akikadiriwa kufikisha kiasi cha dola za kimarekani millioni 275.
MJ amekuwa kinara ktk wafu mashuhuri 12 walioshindanishwa kwenye list ya Forbes' annual offering, top 5 ya wafu hao ni Elvis Presley($60 million), mwandishi wa “The Lord of the Rings” J.R.R. Tolkien ($50 million), “Peanuts” Charles Schulz ($33 million) na Beatles frontman John Lennon ($17 million).

No comments:
Post a Comment