World News

Tuesday, January 25, 2011

TX MOSHI JUNIOUR arudi kundini...!

Hassani Moshi JR akifanya makamuzi
Hassani Moshi JR akimba katika kundi la Msondo ngoma


Romani Mng'ande, Hassani Moshi JR na Eddo Sanga wakitoa burudani


Mwimbaji wa Bendi ya Msondo Hassan Moshi TX JR, kushoto akiimba wakati wa onyesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max baa Ilala Bungoni juzi, kulia ni mpiga gitaa Zahoro Bangwe, Tx Moshi Jr. awali alikuwa akiimbia ktk bendi ya FM Academia kabla ya sasa kurudi rasmi Msondo bendi ambako marehem baba yake alikuwa akiwika kabla ya kifo chake!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...